Back

★ Ramani ya jiji la arusha                                               

Maadili ya kiutu

Maadili ya kiutu ni yale yanayotakiwa kupatikana katika binadamu yeyote ili aweze kutenda kwa uadilifu kadiri ya utu wake unaomtofautisha na wanyama, yaani hasa akili inayomwezesha kufikiria na kuelewa maana na matokeo ya matendo yake. Kadiri ya wanafalsafa wa Ugiriki wa kale Plato na Aristotle, maadili hayo ni mengi si chini ya 40, lakini yanategemea manne maadili bawaba: busara, haki, nguvu na kiasi.

                                               

Lugha ya kidini

Lugha ya kidini ni lugha inayotumiwa pekee katika maisha ya kidini kama vile kwa shughuli za liturujia, sala au maandiko matakatifu, wakati wasemaji au wasomaji wa lugha hii ya kidini hutumia lugha nyingine katika maisha ya kawaida.

                                               

Karatasi

Karatasi ni laha bapa na nyembamba ya konge za mimea zilizokandamizwa na kushikamanishwa. Watu huandika kwenye karatasi, vitabu na magazeti hufanywa kwa karatasi, tena vipande vikubwa vya karatasi hutumika kwa kufunga vitu ndani yake. Karatasi hunywa kiowevu, hivyo hutumiwa pia kwa shughuli za kusafisha. Karatasi hutengenezwa hasa kutokana na ubao uliosagwa lakini inawezekana kutumia konge za mimea mingine pia. Inawezekana kutumia pia karatasi iliyokwishatumiwa kwa mfano magazeti ya kale kwa kutengezea karatasi mpya. Kwa matumizi mengine kuna pia karatasi nene kama bapa inayotumiwa kutenge ...

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →