Back

★ Arusha history                                               

Maadili ya kiutu

Maadili ya kiutu ni yale yanayotakiwa kupatikana katika binadamu yeyote ili aweze kutenda kwa uadilifu kadiri ya utu wake unaomtofautisha na wanyama, yaani hasa akili inayomwezesha kufikiria na kuelewa maana na matokeo ya matendo yake. Kadiri ya wanafalsafa wa Ugiriki wa kale Plato na Aristotle, maadili hayo ni mengi si chini ya 40, lakini yanategemea manne maadili bawaba: busara, haki, nguvu na kiasi.

                                               

Kondomu ya kike

Kondomu ya kike ni kifaa cha plastiki kinachotumika wakati wa kufanya ngono kama kingamimba na kwa lengo la kupunguza hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa lakini hata katika hilo kinafeli kuliko kondomu ya kiume. Kondomu ya kike ni kifuko chenye duara zinazopindika kila upande. Kabla ya ngono ya uke, duara lililo ndani ya kifuko huingizwa kwenye kina cha uke, ili kuishikilia kondomu katika uke. Uume huingizwa moja kwa moja katika ufuko kupitia upande wa duara ulio wazi, ambao hubaki nje ya uke wakati wa ngono. Kondomu za kike zinaweza kutumika na mwanamke wakati wa kufanya ngono ya tupu ...

                                               

Awasa

Awasa ni mji mkuu wa Jimbo la Mataifa ya Kusini katika kusini ya Ethiopia. Iko kando la Ziwa Awasa katika Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki takriban kilomita 280 kusini ya Addis Abeba. Mwaka 2005 Awasa ilikuwa na wakazi 125.315. Kati ya wakazi wake 69.169 wa mwaka 1994 asilimia 31.42 % walikuwa Waamhara, 24.91 % Wawelaytta, 11.55 % Waoromo, 10.2 % Wasidama, 4.85 % Wakambaata, 4.6 % Watigray, 3.23 % Soddo-Gurage, 2.15 % Wasilte, 2.13 % Sebat-Bet-Gurage und 1.56 % Wahadiyya. 63.42 % walisema Kiamhara kama lugha ya kwanza. Kiasili eneo la Awasa ilikuwa na misitu minene na hadi leo kuna miti ...

                                               

Antananarivo

Antanànarìvo, ni Mji Mkuu wa Madagaska, kwa Mkoa wa Antananarivo. Pia mji huu wajulikana kwa jina la Kifaransa kama Tananarive ama kwa kifupi ni Tana. Antanànarivo iko kati ya kisiwa kulingana na usabaa wa kisiwa, lakini ni maili 90 kutoka pwani ya magharibi. Mji mwenyewe una kituo cha amri, kinachojengwa juu ya milima na mabonde marefu yenye miamba na nyembamba. Hii milima na mabonde imesambaa kusini na kaskazini kama 2-½ maili, ikigawa kaskazini kwa njiapanda, na kukwea mahali juu zaidi pakiwa 690 ft. juu ya viwanja dhihirifu za mchele upande wa magharibi, ambazo zenyewe zimo 4060 ft. ju ...

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →