Back

ⓘ Kanuni
                                               

Kanuni ya Imani

Kanuni ya imani, au Ungamo la imani, au Tamko la imani, au Nasadiki au Shahada ni fomula iliyopangwa kwa muhtasari ili wafuasi wa dini fulani wakiri kwamba wanaamini mafundisho ya dini hiyo.

                                               

Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli

Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli ni fomula rasmi ambayo ilipitishwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea ikakamilishwa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli ili kubainisha imani sahihi ya Kanisa Katoliki dhidi ya uzushi, hasa wa Ario na wafuasi wake. Katima mazingira hayo, lengo kuu lilikuwa kwanza kumkiri Yesu kama Mungu kweli sawa na Baba, halafu kwamba Roho Mtakatifu anastahili kuabudiwa pamoja na Baba na Mwana Utatu Mtakatifu. Hadi leo hiyo kanuni ya imani inatumika sana katika madhehebu mengi ya Ukristo, hata kama sehemu ya liturujia.

                                               

Kanuni ya kitawa

Kanuni ya kitawa ni maandishi ya kiroho yanayokusudiwa kuongoza hata kisheria maisha ya wamonaki au watawa wengine. Kanuni ileile inaweza kuongoza shirika moja tu au mengi, kama vile Kanuni ya Ndugu wa Kiume na wa Kike wa Utawa Hasa wa Tatu wa Mt. Fransisko, inayofuatwa na mashirika karibu 400 duniani kote, yakiwa na jumla ya watawa 200.000 hivi. Mwandishi wa kanuni kwa kawaida ni mtakatifu aliyeitunga ili kushirikisha karama yake kama mwanzilishi. Kati ya kanuni za zamani zilizo maarufu zaidi, ziko zile za Pakomi, Basili Mkuu, Benedikto wa Nursia, Kolumbano na Fransisko wa Asizi. Mwanamke ...

                                               

Kanuni ya Mwalimu

Kanuni ya Mwalimu ni kanuni ya kitawa iliyoandikwa na mmonaki asiyejulikana mwanzoni mwa karne ya 6 katika Italia ya kati. Ilitumiwa sana na Benedikto wa Nursia katika kutunga kanuni yake iliyoenea haraka kote katika Kanisa la Kilatini.

                                               

Kanuni ya Biblia

Kanuni ya Biblia ndiyo orodha rasmi ya vitabu vitakatifu vya Biblia kadiri ya dini au madhehebu fulani. Neno "kanuni" limeenea kutokana na lile la Kigiriki "κανών", ambalo asili yake ni ya Kiashuru na lina maana ya "kipimo". Kwa mfano, Wasamaria wanakubali vitabu vitano vya Torati tu, tofauti na Wayahudi ambao katika Biblia ya Kiebrania Thanak wanakubali pia vitabu vya Manabii wa awali na Manabii wa baadaye pamoja na vitatu vingine, hasa Zaburi. Upande wa Ukristo, Wakatoliki wanavyo 73 katika Agano la Kale na Agano Jipya, wakati Waprotestanti wanavyo 66 tu. Tofauti hiyo katika matoleo ya B ...

                                               

Kanuni ya Archimedes

Kanuni ya Archimedes ni kanuni ya kisayansi iliyotambuliwa miaka 2000 iliyopita na mtaalamu Mgiriki Archimedes. Inaeleza nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia kama kiowevu au gesi. Inasema: Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba. Archimedes aligundua kanuni hii alipotazama vitu vilivyowekwa katika maji. Kila mtu anayeogelea mtoni anajisikia mwepesi. Gimba linaloingia ndani ya maji linaonekana nyepesi kuliko gimba lilelile kwenye nchi kavu. Lakini masi yake haibadiliki.

                                               

Kanuni ya Kirumi

Kanuni ya Kirumi ni jina la tangu zamani la Sala ya Ekaristi I ya Misale ya Kanisa la Roma inayotumiwa na Wakatoliki karibu wote kuadhimisha Misa. Kanuni hiyo imebaki karibu sawa tangu karne ya 7. Inaundwa na mshono wa sala fupifupi zinazotangulia na kufuata simulizi la Karamu ya mwisho. Mabadiliko ya mwisho yalifanywa na Papa Yohane XXIII halafu hasa na Papa Paulo VI Hata hivyo hati Summorum Pontificum ya Papa Benedikto XVI imeruhusu wanaopenda kutumia kanuni kama ilivyorekebishwa na Papa Yohane XXIII.

                                               

Kanuni ya Mt. Benedikto

Kanuni ya Mtakatifu Benedikto ni kati ya maandishi kwa ajili ya utawa yaliyoathiri zaidi historia ya Kanisa na ya ulimwengu kwa jumla, hasa Ulaya, kwa kuwa baada ya muda mfupi ilikuja kuongoza maisha ya wamonaki karibu wote wa Kanisa la magharibi. Iliandikwa na Benedikto wa Nursia kwa kutumia kanuni za kitawa zilizotangulia, hasa Kanuni ya mwalimu, pamoja na mangamuzi yake yaliyojaa busara.

                                               

Vita

Vita ni mapambano baina nchi, mataifa au angalu vikundi vikubwa vya watu yanayoendeshwa kwa nguvu ya silaha. Katika vita kuna pande mbili au zaidi. Husababisha mateso, vifo na kuharibika kwa mali ya watu pamoja na mazingira asilia.

                                     

ⓘ Kanuni

  • wanaunda mashirika yenye karama moja inayofafanuliwa na kuratibiwa katika kanuni na katiba maalumu. Mtawa anaweza kuwa mwanamume au mwanamke, mwenye daraja
  • Mwana na Roho Mtakatifu ndio msingi wa umoja wa Kanisa pia kadiri ya Kanuni ya Imani ya Nisea - Konstantinopoli kwa njia ya ubatizo uleule mmoja ambao
  • Tovuti Duniani World Wide Web Consortium W3C - Shirika Linalohusika na Kanuni za Msingi za Ujenzi wa Tovuti na mambo mengine yanayohusika na tovuti
  • kuyafikia. Aristotle alifuatwa na Thoma wa Akwino akisema busara ndiyo kanuni nyofu ya utendaji. Adili hilo halichanganyikani na woga unaomzuia mtu asitende
  • Katiba ni sheria au kanuni zinazoaInisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama
  • ileile ya Baba. Pamoja na hayo, walikamilisha kanuni ya imani ya Nisea ambayo kwa sababu hiyo inaitwa sasa kanuni ya imani ya Nisea - Konstantinopoli na ambayo
  • Yanayohusu urika wa maaskofu katika Mkusanyo wa Sheria za Kanisa la Kilatini wa mwaka 1983 yanapatikana katika kitabu II, sehemu II, kanuni 336 - 341.
  • muziki kutoka nchini Ujerumani. Amekuwa maarafu hasa kwa sababu alitambua kanuni za mwendo wa sayari zikilizunguka Jua. Alianza masomo yake kwenye chuo kikuu
  • Katika liturujia wanaadhimishwa pia pamoja tarehe 29 Novemba, siku ya Kanuni kuthibitishwa na Papa Honorius III. Fransisko wa Asizi, shemasi 1226
Kanuni ya Heisenberg ya Utovu wa Hakika
                                               

Kanuni ya Heisenberg ya Utovu wa Hakika

Kanuni ya Heisenberg ya Utovu wa Hakika ni kanuni muhimu katika fizikia ya kwanta. Inasema kwamba haiwezekani kupima sifa mbili zinazotegemeana za kipande kimoja cha elementi kwa uhakika kabisa. Baadhi ya sifa hizo kuna mahali na mwendo. Maana yake kwa mfano, haiwezekani kupima kabisa mahali na mwendo wa elektroni moja wakati huohuo. Kanuni hii ilivumbuliwa na Werner Heisenberg mwaka wa 1927.

Kanuni ya Pauli
                                               

Kanuni ya Pauli

Kanuni ya Pauli ilitangazwa mwaka wa 1925 na Wolfgang Pauli. Inahusu elektroni za atomu. Kila elektroni ina tarakimu nne za kwanta. Kanuni ya Pauli inadai kwamba tarakimu hizo nne haziwezekani kuwa sawa kwa elektroni mbili ndani ya atomu moja.

                                               

Kanuni za kifonolojia

Kanuni za kifonolojia ni mabadiliko mbalimbali yanayotokea wakati mtu anapotamka neno au tungo, hapa tunaangalia zaidi kipande sauti ambacho hubadilikabadilika na kuwa katika tofauti. Kanuni hizo ni: muungano wa irabu ukaakaaishaji konsonanti kuathiri ving`ong`o ving`ong`o kuathiri konsonanti udondoshaji uyeyushaji ving`ong`o kuathiri irabu tangamano la irabu

Users also searched:

kanuni za hisabati,

...
...
...