Back

ⓘ Maumbile asilia na mazingira
                                               

Gesijoto

Gesijoto ni aina za gesi katika angahewa ya dunia zenye uwezo wa kuathiri mnururisho wa infraredi yaani wa joto. Ni sababu muhimu ya kupanda kwa halijoto duniani.

                                               

Mageuko ya spishi

Mageuko ya spishi ni nadharia ya kisayansi iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa biolojia, hasa tawi la jenetikia. Inasema ya kwamba spishi za viumbehai zilizopo duniani leo zimetokana na spishi zilizokuwa tofauti za zamani. Nadharia hii inategemea hoja ya kwamba awali uhai wote ulitokana na maumbo asilia. Katika wazo hili spishi zote jinsi zilivyo sasa zinaendelea kubadilika kutoka mifumo rahisi ya maisha kuelekea mifumo kamili zaidi. Mabadiliko hayo huonekana hasa pale ambapo viumbe vizalia huwa na sifa tofauti na zile za wazazi wao. Sifa hizi ni ishara za jeni ambazo hupitishwa kutoka ...

                                               

Biolojia

Biolojia ni sayansi asilia inayohusu utafiti wa uhai na viumbehai, kama vile mimea, wanyama, kuvu, bakteria na virusi, na jinsi vinavyohusiana kati yao na katika mazingira yao, pamoja na muundo wao, kazi, ukuaji, asili, mageuko, uenezi, na nadharia ya uainishaji. Biolojia ni somo kubwa mno lenye matawi, mada na masomo mengi. Miongoni mwa mada muhimu zaidi kuna kanuni unganishi tano ambazo zinasemekana kuwa misingi yenye hakika na dhahiri ya biolojia ya kisasa: Spishi mpya na sifa bainishi za kurithiwa hutokana na mageuko Jeni ni vitengo vya msingi vya urithi Viumbe hai hula na kugeuza nish ...

                                               

Mkoa wa Magharibi (Kenya)

Mkoa wa Magharibi ulikuwa mojawapo ya mikoa ya utawala ya Kenya nje ya Nairobi, ukiwa mkoa mdogo zaidi kati ya mikoa ya Kenya, lakini pia mkoa wenye msongamano mkubwa wa watu. Ulipakana na Uganda na mikoa ya Kenya ya Nyanza na Bonde la Ufa. Eneo lake lilikuwa km² 8.285 pekee na wakazi 3.569.400, hivyo ulikuwa na zaidi ya watu 400 kwa kila kilomita ya mraba. Wakazi wa Magharibi ni hasa Abaluhya Waluhya. Maadili ya Quakers ni maarufu sana hapa. Makao makuu yalikuwa Kakamega. Mkoa ulienea kutoka vilima vya Bungoma mpakani wa Uganda hadi tambarare karibu na Ziwa Viktoria. Mlima mkubwa wa pili ...

                                               

Bakteria

Bakteria au vijasumu ni viumbehai vidogo sana aina ya vidubini. Mwili wa bakteria huwa na seli moja tu. Huonekana kwa hadubini tu na kwa sababu hiyo hazikujulikana katika karne za kale. Kuna aina nyingi sana za bakteria na idadi yao ni kubwa kushinda viumbe vingine vyote duniani. Huishi kwenye ardhi na kwenye maji, ziko pia hewani zinaposukumwa na upepo. Aina nyingi huishi ndani ya viumbe vikubwa zaidi. Mwanadamu huwa na bakteria nyingi ndani ya utumbo wake ambazo ni za lazima kwa mmengenyo wa chakula. Hata katika ngozi kuna bakteria nyingi ambazo zinakinga mwili dhidi ya vidubini vilivyo ...

                                               

Utamaduni

Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hiyo inajumlisha ujuzi, imani, sanaa, maadili, sheria, desturi n.k. ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Kama sifa maalumu ya binadamu, inayomtofautisha na wanyama, utamaduni ni suala la msingi katika anthropolojia, ukihusisha yale yote yanayopokezwa katika jamii fulani, kama vile lugha inayounganisha watu wanaohusika nao, fasihi, mafungamano, ndoa, michezo, ibada, sayansi na teknolojia. Utamaduni ulioendelea unaitwa pia "ustaarabu". Kila utamaduni unabadilikabadilika mfululizo: ndani ya watu husika, baadhi wanachang ...

                                     

ⓘ Maumbile asilia na mazingira

  • kama maumbile dhidi ya malezi Fenotipu ya viumbe hutegemea mahusiano ya jenetiki na mazingira Mfano mmoja ni kesi ya mabadiliko yanayohusiana na joto - hisi
  • hivyo, hali hii yaweza kutokana na mazingira ya kijamii, mfadhaiko wa ubongo, afya ya akili, maumbile umri, kabila, na jinsia. Matumizi mabaya ya pombe
  • baharini, na uwezekano wa kupanda wa wingi wa matukio ya hali mbaya ya hewa. Mazingira huonekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kuathiriwa na mabadiliko
  • zinatokana na maumbile ya kimazingira kuna mvua nyingi Afrika Magharibi, vichuguu viororo ambavyo huweza kupasuka kwa urahisi ukilinganisha na mbuga ya
  • wa vipokezi tofauti juu ya kiini na huathiri maumbile usemi wake. Matokeo ya karibuni yameonyesha kuwa nyurojenesi, na hivyo, mabadiliko katika mofojenesi

Users also searched:

...
...
...