Back

ⓘ Umma
                                               

Sekta Binafsi

Katika uchumi, sekta binafsi ni ile sehemu ya uchumi ambayo huendeshwa kwa faida binafsi na haidhibitiwi na serikali. Kwa kulinganisha, makampuni ambayo ni sehemu ya jimbo ni sehemu ya sekta ya umma; binafsi, mashirika yasiyo ya faida yanaonekana kama sehemu ya sekta ya hiari. Sekta binafsi inaajiri wengi wa nguvukazi katika baadhi ya nchi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi kama Jamhuri ya Watu wa China, sekta ya umma inaajiri zaidi ya wafanyakazi.

                                               

Wiki ya Usomaji Ramani

Wiki ya Usomaji Ramani nchini Uingereza ni wiki iliyobuniwa na "Ordinance Survey", ambayo ni ofisi ya upimaji na ramani katika Ufalme wa Muungano, kwa shabaha ya kuhamasisha watu kujifunza namna ya kusoma ramani. Wiki hiyo huadhimishwa wiki ya tatu ya mwezi Oktoba. Malengo makubwa ya wiki hiyo ni kuhamasisha umma na jamii katika matumizi na huduma za ramani Kulingana na utafiti wa mwanzo iligundulika kuwa raia wengi walishindwa kuonyesha miji ya London na Birmingham kwenye ramani ya nchi. Wasiwasi wa watu wengi kupoteza maarifa ya usomaji ramani haukuwa jambo jipya, kulingana na utafiti wa ...

Umma
                                     

ⓘ Umma

Umma ni jumla ya watu wote katika kikundi, jamii au nchi.

Kisosholojia, umma ni watu walio na nia sawa katika jambo fulani kama vile, wasomaji wa gazeti, watazamaji wa televisheni au kandanda ama watumiaji wa mtandao.

Katika sayansi ya siasa, umma ni wananchi wakilinganishwa na serikali ambayo hudhaniwa kuwa mtu. Serikali humiliki mali ya umma kwa niaba ya wananchi wake. Vilevile, huduma zozote zinazotolewa na serikali husemekana kuwa za umma kwa sababu umma wananchi ndio huigharamia serikali kwa wafanyakazi, kodi, ushuru, n.k. Kwa mfano, shule za umma.

Shazia Manzoor
                                               

Shazia Manzoor

Shazia Manzoor pia ameimba playback kwenye filamu nyingi zikiwa pamoja na Pal Do Pal 1999 na Ishq Khuda 2013. Uimbaji wake kwenye filamu zilizofanikiwa kibiashara mwaka 2003 ulipongezwa sana na umma.

                                               

Libby Clark

Libby Elizabeth Clark alikuwa mwanahabari Mmarekani mwenye asili ya Afrika. Moja ya mafanikio yake alianzisha magazeti Los Angeles, na kufanya kazi kama mwandishi wa magazeti, na kuanzisha yake mwenyewe ya uhusiano wa umma.