Back

ⓘ Kisiwa cha Ukerewe
Kisiwa cha Ukerewe
                                     

ⓘ Kisiwa cha Ukerewe

2.029300°S 33.009796°E / -2.029300; 33.009796

Kisiwa cha Ukerewe ndicho kisiwa kikuu cha Tanzania ambacho kinapatikana katika Ziwa Viktoria, kiasi kwamba hilo linaitwa pia "Ziwa Ukerewe". Wenyeji wanakiita "Bukerebe".

Kikiwa na eneo la Km² 530 hivi, ndicho pia kisiwa kikuu cha Afrika kisicho cha baharini na kisiwa cha ziwani cha pili duniani kwa ukubwa.

Pamoja na visiwa vya jirani kinaunda Wilaya ya Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza.

Wakazi wake ni 345.147.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Gerald W. Hartwig: Long-Distance Trade and the Evolution of Sorcery among the Kerebe, katika: African Historical Studies Vol. 4, No. 3 1971, pp. 505-524"
 • Geonames.org
 • Gerald W. Hartwig, Changing Forms of Servitude among the Kerebe of Tanzania; katika: Slavery in Africa: Historical and Anthropological Perspectives, ed Suzanne Miers, Igor Kopytoff, Univ of Wisconsin Press 1979, ISBN 0299073343 kupitia google books
                                     
 • Kisiwa cha Kiregi Ukerewe ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili
 • Kisiwa cha Galinzira Ukerewe ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili
 • Kisiwa cha Izinga Ukerewe ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili
 • kisiwa cha Ukerewe ambacho ndicho kikubwa kuliko vyote vya ziwani katika bara la Afrika. Orodha ya visiwa vya Tanzania Wakara Detailed map of Ukerewe
 • Buvuma nchini Uganda Kisiwa cha Izinga Kasese nchini Uganda Kisiwa cha Izinga Rukwa nchini Tanzania Kisiwa cha Izinga Ukerewe nchini Tanzania
 • Kisiwa cha Irugwa ni kati ya visiwa vya kaskazini mwa Tanzania, Wilaya ya Ukerewe Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa. Orodha
 • Kisiwa cha Kamasi ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa
 • Kisiwa cha Zeru ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa
 • Kisiwa cha Lyamwenge ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani
 • Kisiwa cha Bwiru ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa