Back

ⓘ Jeshi la anga
Jeshi la anga
                                     

ⓘ Jeshi la anga

Jeshi la anga ni jeshi linalotumia ndege n.k. Jeshi la anga hutumia ndege hizo kwa ajili ya kusafirisha wanajeshi na mabomu kama sehemu wanayokwenda kushambulia ni mbali sana na walipo.

                                     

1. Kazi ya jeshi la anga

  • Kulinda anga la nchi dhidi ya maadui wakati wa vita.
  • Kushambulia nchi ya maadui wakati wa vita.

Majeshi ya anga huwa na sare tofauti na majeshi mengine.