Back

ⓘ Mgahawa




Mgahawa
                                     

ⓘ Mgahawa

Mgahawa ni mahali ambapo chakula kilichopikwa kinauzwa kwa umma, na ambapo watu huketi katika viti maalum vilivyoandaliwa pamoja na meza na kula.

Migahawa hiyo huwa na vyakula tofauti, kwa mfano wali, nyama,biliani, viazi, mayai n.k.

Pia migahawa huwa na vinywaji kama vile soda, maji, maziwa,juisi, chai n.k.

Migahawa hiyo hupatikana kwa wingi mjini kwa mfano katika shule,ofisi n.k.

Mgahawa hutoa huduma yake kwa bei ya kawaida. Baadhi ya watu ambao hupendelea kula kwenye migahawa ni wanafunzi, walimu n.k.