Back

ⓘ Laurenti wa Canterbury
Laurenti wa Canterbury
                                     

ⓘ Laurenti wa Canterbury

Laurenti wa Canterbury kuanzia mwaka 604 alikuwa askofu mkuu wa pili wa Canterbury.

Alikuwa ametumwa huko na Papa Gregori I mwaka 595 kama mmisionari kwa Waangli na Wasaksoni pamoja na Augustino wa Canterbury.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au 3 Februari.

                                     

1. Marejeo mengine

  • Sharpe, R. 1995. "The Setting to St Augustines Translation, 1091". In Eales, R. Canterbury and the Norman Conquest: Churches, Saints, and Scholars, 1066-1109. London: Hambledon Press. pp. 1–13.
.
                                     
  • za watakatifu Floskolo wa Orleans, Laurenti wa Canterbury Burkado wa Wurzburg, Katerina wa Ricci, Yoana wa Lestonnac, Nikola wa Longobardi, Theofani Vénard
  • 1931 Antoni wa Padua, Doctor Evangelicus 1195 - 1231 - 1946 Laurenti wa Brindisi, Doctor Apostolicus 1559 1619 - 1959 Teresa wa Yesu 1515 - 1582
  • Afrika Kaskazini Ada wa Ethiopia Adiuto wa Cava, Afrika Kaskazini Adriani, Vikta na Sekundili, Afrika Kaskazini Adriani wa Canterbury Afrika Kaskazini Adrioni
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha