Back

ⓘ Darasa
                                               

Krimu

Krimu ni maziwa bidhaa linajumuisha wa juu butterfat safu skimmed kutoka juu ya maziwa kabla homogenization. Katika maziwa un-homogenized, mafuta, ambayo ni chini ya nene, hatimaye kupanda hadi juu. Katika uzalishaji wa viwanda wa krimu, mchakato huu wa kasi kwa kutumia centrifuges kuitwa "separators". Katika nchi nyingi, krimu ya kuuzwa katika darasa kadhaa kulingana na maudhui ya jumla butterfat. krimu inaweza kavu kwa unga ajili ya usafirishaji na masoko ya mbali. krimu ina kiwango cha juu cha ulijaa mafuta. Katika nchi nyingi, cream ni kawaida kuuzwa kwa sehemu fermented: sour cream, C ...

Darasa
                                     

ⓘ Darasa

Darasa ni jengo au chumba ambamo mafunzo ya elimu hutolewa, hasa shuleni.

Madarasa hayo hujengwa ili kunapotokea jua, mvua, vumbi au chochote kile ambacho kinaweza kuleta madhara au usumbufu kwa wanafunzi wasipatwe nacho.

Kwa kawaida darasa huwa na ubao wa kufundishia, madawati ya wanafunzi, pia meza ya walimu n.k.

Darasa ni pia jina la mkondo wa wanafunzi wanaosomea humo, na la somo linalofundishwa.

                                     
  • yupo darasa la saba, alikuwa anawaambia wenzake kwamba atakapomaliza darasa la saba atashika dola za Kimarekani bilioni 30. Alipomaliza darasa la saba
  • ya Tanzania ni tofauti na nchi nyingine duniani kwani huanzia awali hadi darasa la saba, baada ya hapo unajiunga na elimu ya sekondari kwa miaka 6 yaani
  • mkoa wa Kagera kwa kuwa mama yake ni Mhaya. Alianza darasa la kwanza mwaka 2006 ambapo alimaliza darasa la saba mwaka 2013 katika Shule ya Msingi Kalema
  • of Kenya ni shule ya kimataifa inayofunza wanafunzi kuanzia darasa la chekechea hadi darasa la 12. Shule hii iko nje ya jiji la Nairobi, Kenya. Ilianzishwa
  • analelewa kulingana na maadili ya kidini. Anaruhusiwa kukaa bweni kuanzia darasa la tatu mpaka la saba pia kuwa mwanafunzi wa kutwa. Sensa ya 2012, Morogoro
  • Kharumwa Wilaya ya Nyang hwale sasa Mkoa wa Geita kwa kuanzia darasa la 1 mpaka darasa la 3 na kuhamia Tabora ambako alisoma katika Shule ya Msingi Chemchem
  • ya msingi Darasa 1 - 5 na International Baccalaureate kwa shule ya kati Darasa 6 - 10 na diploma ya International Baccalaureate Darasa 11 - 12 Shule
  • ikiwa ni pamoja na miji 12 ya Shirikisho - miji miji 64 ndogo ya rayon - darasa na mji maalum wa hali ya kisheria. Hizi zifuatiwa na makazi 257 ya mijini
  • kuanzia darasa la kwanza hadi la tano. Alimaliza elimu yake ya msingi katika shule iitwayo Kalobe shule ya Msingi ambapo alisoma kuanzia darasa la sita
  • mtoto mmoja aitwaye Ned Bigby na marafiki zake Jennifer na Simon wakiwa darasa la saba wanatengeneza kitabu ambacho kitawaongoza jinsi ya kuishi vizuri