Back

ⓘ AkidaAkida
                                     

ⓘ Akida

Akida alikuwa mkubwa wa kikosi cha jeshi la zamani, kwa mfano la Dola la Roma.

Katika Biblia ya Kikristo jina hilo linatumika kutafsiri neno la Kilatini "centurio", yaani mkuu wa askari mia.

Maarufu zaidi ni yule ambaye alisimamia utekelezaji wa adhabu ya kifo kwa Yesu akamkiri kuwa kweli Mwana wa Mungu Mk 15:39, lakini pia yule aliyesifiwa na Yesu Kristo kwa imani yake kubwa Math 8:5-13: Lk 7:1-10, halafu akida Korneli aliyebatizwa kwa agizo la Mtume Petro bila kudaiwa kwanza atahiriwe Mdo 10:1-11:30.

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →