Back

ⓘ Akademia
Akademia
                                     

ⓘ Akademia

Akademia ni shule au chuo kinachotoa elimu au taaluma maalumu, k.v. lugha, muziki, michezo au sanaa.

Jina linarejelea taasisi iliyoundwa na Plato kwenye mwaka 385 KK ilikuwa chuo chake cha falsafa mjini Athens iliyokuwepo ndani ya hekalu ya Athena, mungu wa hekima na elimu.

Pia inaweza kuwa kundi la wasomi wenye ujuzi mkubwa katika taaluma fulani, k.v. siasa, uchumi au masuala ya jamii.

Tena inaweza kuwa taasisi rasmi inayohamasisha maendeleo ya fasihi, sayansi n.k.

Nchi nyingi huwa na "Akademia ya Sayansi" ambayo ni shirika za wataalamu au pia taasisi za wataalamu. Zinalenga kujenga na kuimarisha ushirikiano wa wataalamu wa fani mbalimbali, mbali na kazi yao kwenye vyuo vikuu. Akademia ya Sayansi hailengi kufundisha, inalenga kuunganisha wataalamu na tafiti zao.

                                     
  • C.. Gardiel Michael aliwahi kuchezea Yanga msimu wa 2018 2019 akitokea Azam FC ambayo yenyewe ilimkuza kupitia Akademia yao iliyoibua nyota mbalimbali
  • sekondari kwani huwezesha kufikia chuo kikuu. Barani Ulaya, shule za sarufi au akademia zilikuwepo hata katika miaka ya 1500. Shule za umma au zile za kulipa karo
  • wa mkoa wa Rhone. Tangu mwaka 1815 aliishi mjini Paris akawa Katibu wa akademia ya sayansi. Pamoja na shughuli hizi zote, alifanya tafiti mbalimbali za
  • Fábrica au cantera yaani Kiwanda ni jina ambalo limetolewa kwa akademia ya vijana wa timu ya Real Madrid. Chuo hicho ni kimoja kati ya vyuo vinavyochangia
  • Kifaransa kilichokuwa rasmi kilifuata lahaja ya eneo la Paris. Tangu 1634 kuna Akademia ya Kifaransa aabayo ni taasisi ya kulinda usafi wa lugha. Kifaransa kilienea
  • Alipata sifa nyingi kimataifa lakini hakuendelea kupewa nafasi katika akademia ya sayansi kwa sababu ya talaka katika ndoa yake. Mwaka 1890 alijiuzulu
  • jamii ya Waluhya. Origi alianza kazi yake ya kucheza mpira wa miguu katika akademia ya vijana wa Genk ambako alitumia miaka tisa na baadae kusaini Lille 2010
  • l Académie royale des sciences taarifa ya Lacaille katika Historia ya Akademia ya Kifalme ya sayansi uk. 588, Tovuti ya Bibliothèque nationale de France
  • l Académie royale des sciences taarifa ya Lacaille katika Historia ya Akademia ya Kifalme ya sayansi uk. 589, Tovuti ya Bibliothèque nationale de France
  • l Académie royale des sciences taarifa ya Lacaille katika Historia ya Akademia ya Kifalme ya sayansi uk. 588, Tovuti ya Bibliothèque nationale de France