Back

ⓘ AjiraAjira
                                     

ⓘ Ajira

Kuna aina kadhaa za ajira zikiwemo:

  • Ajira ya binafsi - self employment ni ajira ambayo mtu hujiajiri yeye mwenyewe kama vile wafanyabiashara.
  • Ajira ya mkataba - contract employment hii ni ajira ambayo mwajiriwa huajiriwa kufanya kazi fulani au kwa muda fulani na muda wake au kazi yake ishapo mkataba wake na mwajiri unaisha. Mwajiriwa wa mkataba huwa na uhakika, hawezi kuachishwa kazi kabla mkataba wake uishe, ila tu afanye makosa yasiyo weza kuvumiliwa. Pia yeye hawezi acha ile kazi kwa hiari bila kugharamia hasara yote inayoweza kutokana na kuvuja ule mkataba.
  • Ajira ya muda - temporary employment ni ajira ambayo mwajiriwa hufuata ratiba ya wafanyakazi wa kudumu lakini anaweza akaachishwa kazi wakati wowote. Mwajiriwa hana usalama wa kazi. Kibarua ni mfano wa ajira ya muda; ni ajira isiyo ya mara kwa mara na mtu huajiriwa tu kazi ipatikanapo na kazi ikiisha anaenda zake bila kujua kazi ingine itapatikana lini.
  • Ajira ya kudumu - permanent employment ni ajira ambayo mwajiriwa hana woga wa kuachishwa au kuacha kazi ila tu anapopigwa kalamu kwa sababu ya makosa yake, afikishapo miaka ya kustaafu au kuacha kazi kwa hiari yake. Waajiriwa wa kudumu hufuata ratiba fulani na wanaweza kuwa wafanyakazi wa mchana kutwa full time employment au wa masaa machache part-time employee.
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →