Back

ⓘ Mlango
Mlango
                                     

ⓘ Mlango

Mlango ni muundo unaotumiwa kuzuia na kuruhusu kuingia jengo, gari, n.k.

Wakati ni wazi, milango inakubali watu, wanyama, hewa au mwanga n.k.

Mlango hutumiwa kudhibiti hali ya hewa, ili ndani kuwe na joto au baridi kuliko nje. Pia hufanywa kama kizuizi kwa kelele.

Pengine watu hufungua na kufungwa milango kama ishara ya faragha.

Milango mingine ina vifaa vya kuzuia watu fulani na kuacha wengine waingie.

Mara nyingine milango hupewa maana ya ibada, na kulinda au kupokea funguo za mlango, au kupewa nafasi ya kufungua mlango inaweza kuwa na umuhimu maalum.

                                     
 • Mlango wa Gibraltar ni mlango wa bahari kati ya Moroko na Hispania. Unaunganisha bahari za Atlantiki na Mediteranea. Ni mahali ambako bara za Afrika na
 • Mlango wa bahari pia: mlangobahari, ing. strait ni mahali ambako magimba mawili ya nchi kavu hukaribiana kwa pwani zao na kuacha nafasi kwa ajili ya
 • Mlango wa Bering kwa Kirusi: Берингов пролив kwa Kiingereza: Bering Strait ni mlango wa bahari na mahali pa kukaribiana kati ya Alaska upande wa Amerika
 • Mlango wa Korea ni mlango wa bahari baina ya Korea Kusini na nchi ya Japani. Mlango huu unaunganisha Bahari ya Uchina ya Mashariki na Bahari ya Japani
 • Mlango wa Malakka ni mlango wa bahari kati ya Malaysia na kisiwa cha Sumatra Indonesia mwenye urefu wa 800 km. Sehemu yake nyembamba ni 2, 8 km pekee
 • Mlango wa Hormuz Kar. مضيق هرمز - madīq hurmuz, Kiajemi تنگه هرمز - tangeh - ye hormoz ni mlango wa bahari mwembamba kati ya Uajemi na Falme za Kiarabu
 • Mlango wa Dover Kifaransa: Pas de Calais Kiing.: Strait of Dover ni sehemu nyembamba ya Mfereji wa Kiingereza kati ya Ufaransa na Uingereza. Bahari
 • Mlango wa La Pérouse Kijapani: Mlango wa Soya ni jina la mlangobahari unaotenganisha visiwa vya Japani na Urusi. Upande wa kusini kipo kisiwa cha Hokkaido
 • iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya mlango wakitumia alama tu kwa sauti ya d na kuiita kwa neno lao kwa mlango dalet Wagiriki walichukua alama hiyo
 • kiarabu: باب المندب Mlango wa machozi ni mlango wa bahari uliopo kati ya nchi ya Jibuti upande wa Afrika na Yemeni upande wa Asia. Mlango wa bahari una upana
 • Mlango wa Hudson unaunganisha Bahari ya Atlantiki na Ghuba ya Hudson huko Kanada. Uko kati ya Kisiwa cha Baffin na pwani ya kaskazini ya Quebec. Urefu
 • Wafiadini wa Mlango wa Shaba walifariki Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 730 hivi walikuwa Wakristo waliouawa na kaisari Leo III wa Bizanti kwa sababu