Back

ⓘ Soko
                                               

Williams Holdings

Williams Holdings lilikuwa kundi kubwa la biashara la Uingereza. Lilikuwa limeorodheshwa katika Soko la Hisa la London na pia katika orodha ya FTSE 100.

                                               

Tricoteuse

Tricoteuse ni Kifaransa. Miongoni mwa vitu walivyofunga ni kofia maarufu ya uhuru au kofia ya Frigia. Mrefu mara nyingi hutumika katika maana yake ya kihistoria kama jina la utani kwa wanawake ambao ameketi pembeni guillotine wakati wa unyongaji hadharani mjini Paris katika mwaka wa Mapinduzi ya Kifaransa, ikidhaniwa kuendelea kuunganishwa katika kunyonga.

                                               

Maduka ya Gee Bee

Kampuni ya maduka ya Gee Bee ilianza Johnstown, Pennsylvania, Marekani,katika mwaka wa 1906. Ilianzishwa na ndugu wa familia ya Glosser walipofungua duka la chumba kimoja katika jengo la Franklin Building. Kampuni iliunda matawi yake katika miaka ya 1950 wakifungua maduka ya Gee Bee. Mengi ya maduka haya,pia lile la kwanza, yaliyokuwa na jina la Glosser yalibaki wazi katika miaka ya 1980. Jengo la Franklin Building liliendelezwa katika miaka ya katikati ya 1990. Maeneo ya maduka ya Gee Bee yaliuziwa minyororo mingine ya maduka katika miaka ilyofuata. Eneo la Eastland Mall katika Versailles ...

                                               

Wimpy (Mikahawa)

Wimpy ni jina la mikahawa ya kupika vyakula vya haraka mijini,mikahawa hiyo ina makao yao nchini Uingereza. Inajulikana sana kwa baga yao inayojulikana kama the Bender,ambayo hasa ni soseji ya frankfurter bali si baga. Hapo awali mikahawa hii ilijulikana kama Wimpy Bars na watu wengi bado huijua kwa jina hilo, licha ya jina hilo kuachwa miaka mingi iliyopita na jina "Wimpy" kutumika. Wamiliki wa sasa wa Wimpy huendesha kazi zao katika nchi kadhaa chini ya jina Wimpy International.

                                               

Bomba la mafuta ghafi la Uganda –Tanzania

Bomba la Mafuta Ghafi la Uganda–Tanzania, linalojulikana pia kama Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki linakusudia kusafirisha mafuta yasiyosafishwa kutoka Uganda kwenda Bandari ya Tanga, Tanzania, kwenye Bahari ya Hindi. Baada ya kukamilika, bomba la mafuta litakuwa bomba refu zaidi duniani linalopashwa moto.

                                               

Fufu (Chakula)

Fufu, ni chakula kikuu cha Afrika ya Magharibi na Afrika ya Kati. Ni ugali mnene ambao kwa kawaida huandaliwa kwa kuchemsha unga/Wanga katika maji na kupondwapondwa mpaka hali inayotakiwa ifikiwe. Katika mataifa ya Afrika ya Magharibi yanayozungumza Kifaransa kama Kamerun, fufu wakati mwingine unajulikana kama couscous, chakula hiki hakina uhusiano wowote na mlo wa Kimoroko wa couscous. Katika eneo la Afrika ya Magharibi, fufu kwa kawaida huandaliwa kutoka kwa mihogo, viazi vikuu na wakati mwingine huchanganishwa na viazi vikuu vya coco, plantainmmea katika jamii ya ndizi au mahindi. Nchin ...

                                               

Nontsikelelo Veleko

Nontsikelelo "Lolo" Veleko ni mpiga picha wa Afrika Kusini aliyetambulika zaidi kwa kuonyesha utambulisho wa weusi wake, mijini na mtindo baada ya ubaguzi wa rangi wa kikatili Afrika Kusini.

Soko
                                     

ⓘ Soko

Soko ni sehemu ambapo watu huuza na kununua bidhaa. Wakati watu wana bidhaa za kuuza, huanzisha mahali pa kuuzia, inaweza kuwa sehemu maalum.

Neno "soko" linaweza likajumuisha maana kwenye uchumi. Linaweza kumaanisha njia ambayo bidhaa zinauzwa na kununuliwa. "Kuna masoko makubwa kwa ajili ya maosheo ya vyombo" ina maana watu wengi wananunua maosheo ya vyombo. Kwa hiyo biashara ya maosheo ya vyombo inaweza kuingiza pesa nyingi. Na hii huchochea uchumi.

Soko ni mahali muhimu kwa kuwa inao watu wengi. Huenda wakawa wengi sana kama milioni. Kuna aina ya masoko ya watu wengi ndani ya nchi za Afrika, kwa mfano Cairo, Lagos, Kinshasa, Soweto Johannesburg.

                                     

1. Ushindani

Kama muuzaji wa bidhaa hawezi kusambaza kile ambacho mteja anaulizia au anataka kwa bei ndogo, wauzaji wengine wanaweza wakasambaza kwa bei ndogo. Wauzaji huwa hawapendi ushindani na wanaweza kujaribu kuua ushindani. Muuzaji anayeua ushindani kwa ajili ya yeye kupata faida hambazo hakutakiwa kupata, anatakiwa kusimamishwa kisheria.