Back

ⓘ Udadisi
Udadisi
                                     

ⓘ Udadisi

Udadisi ni tabia ya kuchunguza kitu au jambo kwa kina.

Mara nyingi wanasayansi ndio wadadisi wazuri kwa maana wao huchunguza kwa kina na umakini, wakifuata kanuni na kutafuta ushahidi. Kwa njia yao udadisi umestawisha maisha ya binadamu.

Katika udadisi kuna ule wa kawaida na mwingine usio wa kawaida. Kwa udadisi wa kawaida mtu hudadisi kwa njia rahisi, tofauti na ule usio wa kawaida ambapo mtu asipokuwa makini anaweza hata kufa. Udadisi huu unahitaji kuwa makini sana.

Udadisi unajitokeza mapema katika mtoto, lakini unapozidi na kuelekea mambo yasiyo na maana kwa mfano umbeya unamzuia mtu asijue mambo ya maana; hapo ni kilema cha akili.

                                     

1. Marejeo

  • Manguel, Alberto 2015. Curiosity. New Haven, CT: Yale University Press. ISBN 978-0-300-18478-5.
  • Edelman, Susan Spring 1997. "Curiosity and Exploration". California State University, Northridge
                                     
  • winga katika klabu ya Liverpool f.c.. Kent alifanya kazi yake ya kwanza ya udadisi mnamo mwaka 2015, kabla ya kwenda kwa mkopo kwenye klabu ya Coventry City
  • na kifo, kwa mfano msiba wa ndugu au rafiki. Hilo limekuwa suala kuu la udadisi wa sayansi, falsafa na dini tangu zamani. Hivyo kumekuwa na idadi kubwa
  • nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu. Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmojammoja lakini kadiri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu
  • kufahamika mwanzilishi wa kama sayansi na ufundi.yote katika kivuli cha udadisi Wapenzi wakati wote, wapo katikati ya hadithi hii, wakiumbwa kisanii katika
  • Origen, mkuu wa Chuo cha Katekesi cha Aleksandria, aliyekuwa anaishi huko. Udadisi uliwafanya wakamsikilize na kuongea naye ndipo walipovutiwa sana, kiasi
  • Origen, mkuu wa Chuo cha Katekesi cha Aleksandria, aliyekuwa anaishi huko. Udadisi uliwafanya wakamsikilize na kuongea naye ndipo walipovutiwa sana kiasi
  • Utafiti wa kisayansi ni njia ya utaratibu wa kukusanya data na kuunganisha udadisi Utafiti huu hutoa maelezo ya kisayansi na nadharia kwa ufafanuzi wa asili
  • anapokabiliana na kifo, kwa mfano msiba wa ndugu au rafiki. Limekuwa suala kuu la udadisi wa sayansi, falsafa na teolojia tangu zamani. Kumekuwa na idadi kubwa ya