Back

ⓘ Elimu kwa watoto wa kike
Elimu kwa watoto wa kike
                                     

ⓘ Elimu kwa watoto wa kike

Elimu ni kitu muhimu kwa maisha ya sasa kwa kila mtu: awe mwanamke au mwanamume inampasa kupata elimu ili aweze kumsaidia maishani. Lakini duniani hadi siku hizi watoto wa kike wanakosa au wananyimwa haki ya kupata elimu.

Tatizo hilo ni kubwa zaidi katika mabara ya Afrika na Asia ambapo watoto wa kike wanakosa elimu kutokana na mila potofu za mataifa hayo. Si hivyo tu: wanakosa elimu ila wanalazimishwa kuolewa wakiwa wadogo na hawawezi kulea familia; ndiyo maana hali ya maisha katika mabara hayo si nzuri. Kumbe elimu kwa watoto wa kike ni haki yao ya msingi.

                                     
  • harakati za usawa wa kijinsia na kuongezea uwezo wa watoto wa kike pamoja na haki zao, kama vile, usawa wa kijinsia, haki ya elimu haki ya kulindwa dhidi
  • Kati kwa mwaka wa elimu 2001. Idadi ya uandikishwaji haifanani na mahudhurio ya wanafunzi mashuleni. Hakuna fursa sawa kielimu kwa watoto wa kike Kwa mwaka
  • sekondari. Mwamko wa elimu bado ni mdogo sana katika eneo hili, hasa kwa watoto wa kike ambao hukimbilia kuolewa punde tu wanapomaliza elimu ya msingi. Wengine
  • mkutano wa washairi ulioitishwa na Kaluta Amri Abeid na ulioshirikisha washairi maarufu wa Tanganyika. Katika kuonyesha umuhimu wa elimu kwa watoto wake
  • jina mbadala kwa mungu wa Kigiriki Kronos huyu alikuwa mwana wa mungu wa mbingu Urano na mungu wa kike wa ardhi Gaia. Alimpindua babake kwa kukata uume
  • wa kupigania haki ya elimu kwa watoto na usawa kijinsia kwa wanawake kutoka nchini Pakistan. Malala ni mtoto wa kwanza katika familia yao ya watoto watatu
  • Family ni tamthilia ya Kikorea inayohusu familia yenye watoto watano: wanne wa kike na mmoja wa kiume. Katika tamthilia hii kuna mafunzo tofauti ya kifamilia
  • wa nuru na jua, aliyemzaa mungu wa jua Helios, mungu wa kike wa mwezi Selene na mungu wa kike wa mapambazuko Eos Iapetos mume wa Klymene binti wa Okeanos
  • viongozi hawa wa kikabila ili kuweza kuweka misingi yao ya kikoloni. Pia ndugu na watoto wa Ma - mangi walikuwa wa kwanza kupata elimu ya kikoloni, kwa hiyo waliweza