Back

ⓘ Elimu nchini Tanzania
Elimu nchini Tanzania
                                     

ⓘ Elimu nchini Tanzania

Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo:

 • Miaka 3 zaidi elimu ya Chuo Kikuu
 • Miaka 2 elimu ya juu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 18–19 Fom 5 na 6
 • Miaka 2 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi wenye umri kati ya miaka 5–6 miaka 2, lakini hii watoto sehemu kubwa wanaanza wakiwa na umri wa miaka 3, ili kuwa na mazoea ya shule.
 • Miaka 4 elimu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 14–17 Fomu 1-4
 • Miaka 7 elimu ya msingi ambayo hutolewa kwa watoto walio na umri wa miaka 7–13 Darasa la I-VII
                                     

1. Elimu ya msingi

Shule za serikali hufundisha kwa Kiswahi na Kiingereza na katika baadhi ya shule zinafundisha katika misingi ya Kiingereza cha wastani - hasa zile za binafsi. Badhi ya shule za binafsi, zenye malipo ya juu ya karo, wanafundisha kwa Kiingereza. Lugha zingine za makabila zingine mbali na Kiswahili haziruhusiwi kufundishia, si kundishwa kama masomo, ingawa zinaweza kutumika pasipo rasmi katika hali fulani hasa katika elimu ya awali.

Ni lazima kwa kila mtoto aliyefikisha umri wa miaka saba kuandikishwa katika elimu ya msingi.

                                     

1.1. Elimu ya msingi Uandikishwaji na takwimu za ufundishaji

Kuondoa ada katika shule za serikali umepelekea ongezeko kubwa la watoto kuandikishwa katika shule za msingi, kutoka 4.839.361 mnamo 2001 hadi 7.959.884 mnamo 2006 hadi 8.410.000 mnamo 2008.

Ongezeko hili halijawa na uwiano na ongezeko la rasilimali kwa walimu ikiwa ni pamoja na madarasa na vitabu vya kufundishia. Uwiano wa wanafunzi kwa walimu waliohitimu kwa mwaka wa 2010 ulikuwa 54:1, ambayo ilikuwa asilimia 35 ya malengo ya 40:1. Kila mkoa ulizidi lengo kasoro Kilimanjaro na Dar es Salaam. Only three percent of students in Standard VI nationwide had sole use of a mathematics textbook in 2007 compared to seven percent in 2000.

Mwaka wa 2006, kiwango cha jumla cha wanafunzi walioandikishwa katika elimu ya msingi ilikuwa asilimia 110., na kiwango cha uandikishwaji uliofuata ulikuwa asilimia 97.8 Kiwango cha jumla cha uandikishwaji ni uwiano wa jumla ya idadi ya wanafunzi wanaohudhuria shule ya msingi wenye umri rasmi wa kujiunga na shule za msingi. Kiwango cha jumla cha uandikishwaji katika elimu ya msingi ni uwiano rasmi wa idadi ya jumla ya walioandikishwa katika umri unaostahili kwa elimu ya msingi. Idadi hii inatokana na jumla ya wanafunzi walioandikishwa katika elimu rasmi ya msingi na, hivyo basi, haina ulazima wa kuakisi hali halisi ya kimahudhurio. Mwaka wa 2000, asimilia 57 ya watoto wenye umri kati ya miaka 5–14 walihudhuria elimu ya msingi.

                                     

2. Viungo vya Nje

 • Ministry of Education and Vocational Training Archived Februari 20, 2009 at the Wayback Machine.
 • Education Statistics and Quality of Education in Tanzania Archived Machi 22, 2009 at the Wayback Machine., Southern and Eastern Africa Consortium for Monitoring Educational Quality SACMEQ
 • Tanzania Institute of Education
 • Tanzania Education Fund
 • Tanzania Educational Advancement Through Export Marketing
 • Tanzania National Website - Education Archived Machi 19, 2017 at the Wayback Machine.
 • Liwalo na Liwe Foundation Archived Mei 1, 2008 at the Wayback Machine.
 • Tanzania Education Network
                                     
 • inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini Tanzania pamoja na mafunzo ya ufundi. Ofisi kuu ya wizara
 • Hali hii inarudisha nyuma maendeleo ya uvuvi nchini Pia asilimia kubwa ya wavuvi Tanzania hawana elimu nzuri juu ya suala zima la uvuvi, hivyo huwapelekea
 • kiutawala Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinatoa stashahada, diploma na shahada mbalimbali kupitia elimu ya kimtandao au elimu ya masafa ya juu kwa njia ya
 • mpya ya elimu inakusudia kufanya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika ngazi zote kufikia mwaka 2024. Makala kuu: Dini nchini Tanzania Nchi haina
 • elimu huitwa walimu, kwenye ngazi za juu zaidi wanaweza kuitwa pia profesa au wakufunzi. Nchini Tanzania vyuo huratibiwa na tume ya vyuo vikuu nchini
 • Ukristo nchini Tanzania ni mojawapo kati ya dini kubwa zaidi, zikifuatwa na wakazi wasiopungua milioni 20. Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari
 • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Kiingereza: Ministry of Education and Vocational Training kifupi MOE ni wizara ya serikali nchini Tanzania Ofisi
 • elimu juu ya jambo fulani. Elimu hiyo ndiyo itakayomsaidia kutatua jambo hilo. Watu wengi husema kwamba elimu haina mwisho, wakimaanisha kuwa elimu inaweza
 • Elimu Mitaani.com ni jina la kutaja wimbo uliombwa na kutungwa na msanii wa hip hop kutoka nchini Tanzania Dknob. Wimbo unatoka katika albamu yenye
 • yanaendesha shule za msingi na sekondari nchini Gabon. Shule hizi zinahitaji kujisajili kwa Wizara ya Elimu ambapo hutozwa ili zifikie viwango vinavyohitajika
 • kiingereza: University of Dar es Salaam ni chuo kikuu cha kwanza nchini Tanzania chenye kauli mbinu inayosema Hekima ni Uhuru. CKD kina kampasi mbalimbali