Back

ⓘ Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Historia
                                               

Tuzo ya Pulitzer ya Historia

Tuzo ya Pulitzer ya Historia ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na imetolewa kumheshimu mwandishi au mwanahistoria Mwarekani aliyeandika kitabu kuhusu historia ya Merkani katika mwaka uliopita. Kuanzia 1980, wagombea watatu wa mwisho walikuwa hutangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tatu.

                                               

James Truslow Adams

James Truslow Adams alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1922, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Founding of New England".

                                               

Herbert Agar

Herbert Sebastian Agar alikuwa mwanahistoria na mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1934, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Peoples Choice.

Charles McLean Andrews
                                               

Charles McLean Andrews

Charles McLean Andrews alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1935, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Colonial Period of American History.

                                               

Samuel Flagg Bemis

Samuel Flagg Bemis alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1927, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Pinckneys Treaty. Tena, mwaka wa 1950, alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya John Quincy Adams.

Van Wyck Brooks
                                               

Van Wyck Brooks

Van Wyck Brooks alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1937, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Flowering of New England, 1815-1865.

                                               

Edward Channing

Edward Channing alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1926, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa juzuu ya sita ya kitabu chake History of the United States.

                                               

Bernard DeVoto

Bernard De Voto alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1948, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Across the Wide Missouri.

                                               

Richard Hofstadter

Richard Hofstadter alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia mara mbili, kwanza 1956 kwa kitabu chake Age of Reform, halafu tena 1964 kwa Anti-Intellectualism in American Life.

                                               

Paul Horgan

Paul George Vincent OShaughnessy Horgan alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na vitabu vya kihistoria. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia mara mbili, kwanza 1955 kwa kitabu chake Great River: The Rio Grande in North American History, na tena 1976 kwa wasifu ya "Lamy of Santa Fe".

Jean Jules Jusserand
                                               

Jean Jules Jusserand

Jean Adrien Antoine Jules Jusserand alikuwa mwanasiasa na mwanahistoria kutoka nchi ya Ufaransa. Wakati wa Vita_Kuu_ya_Kwanza_ya_Dunia alikuwa balozi wa Ufaransa nchini Marekani. Mwaka wa 1917, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake With Americans of Past and Present Days".