Back

ⓘ Elimu mbadala
                                               

Wanawake wa ukuta wa Kuomboleza

Wanawake wa Wall ni Wayahudi wa jinsia chama msingi katika Israeli ya kuhakikisha haki za wanawake kubeba juu ya mistari ya Torati ya kusoma Taurati na kuleta mavazi ya kidini katika ukuta Maombolezo, pia kuitwa. chama kupanga kikundi cha maombi kike, ambapo baadhi ya wanawake wanazuoni kukutana siku moja kila mwezi wakati wa Rosh Hodesh, Wall, pia inajulikana. anaomba kundi na ni jadi yaliyotolewa na wanawake ambao wanataka kusoma Torati na amevaa kata, tèfilim na QUIP. Tangu forodha kuwa maendeleo tangu mwaka 1967 na Rabbinate Orthodox katika uhusiano na wanawake, wengi wanakikundi kutes ...

                                     

ⓘ Elimu mbadala

Elimu mbadala, ambayo pia hujulikana kama elimu isiyo rasmi, ni dhana yenye maana pana na inayoweza kutumiwa kurejelea aina zote za elimu zilizo nje ya elimu ya kawaida.

Hujumuisha si tu mitindo ya elimu inayokusudiwa wanafunzi wenye mahitaji ya pekee lakini pia mitindo inayolenga hadhira ya jumla na kutumia mitindo na falsafa badala ya elimu.

Elimu mbadala mara nyingi huwa matokeo ya mabadiliko katika elimu yaliyotokea katika misingi mbalimbali ya falsafa ambayo kwa kawaida ni tofauti na elimu ya jadi ya lazima. Mabadiliko mengine yana misingi ya kisasa, kiutafiti au kifalsafa, ilhali mengine ni miungano isiyo rasmi kati ya walimu na wanafunzi wasioridhika na masuala fulani ya elimu hiyo ya jadi.

Elimu mbadala hii ambayo ni pamoja na shule za tabia, shule badala, shule zinazojitegemea na masomo ya nyumbani hutofautiana pakubwa, lakini zote hutilia maanani umuhimu wa idadi ndogo ya wanafunzi darasani na mahusiano ya karibu kati ya wanafunzi na walimu. Vilevile husababisha hali ya umoja.

                                     
  • katika elimu Elimu ya watu wazima Elimu mbadala Elimu ya kale Elimu ya kushirikiana Elimu linganishi Mtaala Masomo ya mtaala Elimu ya kukua Elimu ya mbali
  • Elimu nchini Kenya imekuwa ikizingatia mfumo wa 8 - 4 - 4 tangu mwishoni mwa miaka ya 1980, ikiwa ni miaka minane ya elimu ya msingi, ikifuatiwa na miaka minne
  • historia ya Dunia. Elimu hiyo inasaidia pia kuelewa nafasi kwa matumizi ya madini tofauti, na kuongoza utafiti kwa kupata madini mbadala au kutengeneza madini
  • Saturnus masimulizi waliopokea kutoka kwa Wagiriki ilhali walimwona kama jina mbadala kwa mungu wa Kigiriki Kronos huyu alikuwa mwana wa mungu wa mbingu Urano
  • mipango endelevu katika elimu kutafuta njia ya mbadala ya elimu na kiuwakilisha katika jumuiya kuwa kama ndio kutambua thamani ya elimu kwa wasichana. Pretty
  • Umaskini Kukomesha Njaa Afya Njema na Ustawi Elimu Bora Usawa wa Kijinsia Maji Salama na Usafi Nishati Mbadala na Gharama Nafuu Kazi Zenye Staha na Ukuaji
  • zilizoweza kutambuliwa iliongezeka mara kwa mara. Hapo kulikuwa na mifumo mbadala iliyofuata kwa mfano ule wa namba za Flamsteed. Pamoja na maendeleo ya
  • ubunifu ambayo hufanywa kwa misingi ya utaratibu ili kuongeza maarifa ya elimu ikiwa ni pamoja na ujuzi wa wanadamu, utamaduni na jamii, na matumizi ya
  • heri zake. Kwa tisa ya makundinyota haya wanajimu walianza kutumia majina mbadala kwa kutafsiri kutoka kawaida ya Kiingereza au kwa kutaja nembo ya kundinyota
  • mwaka 2010 Cartier Women s Initiative Awards kwa kazi yake ya kupata mbadala wa matumizi ya taa za mafuta ya taa na kuweka taa zinazotumia nishati ya