Back

ⓘ Elimu ya juu
                                               

Ed Dante

Ed Dante ni pseudonym ya Dave Tomar, msomi wa glasgow caledonian chuo sasa mwandishi wa kujitegemea wanaoishi katika Philadelphia. mwandishi ignited utata katika jamii kitaaluma wakati makala yake Kivuli Msomi alionekana katika mambo ya nyakati sehemu ya mapitio ya Bohari ya Elimu ya Juu. Makala ya kina ya mwandishi uzoefu kama ghostwriter kulipwa kwa kuwasaidia wanafunzi kudanganya katika kila ngazi ya elimu rasmi. Dave Tomar alidai katika makala yake kwamba alikuwa imeandikwa karibu 5000 kurasa ya kitaalamu fasihi katika mwaka jana ikiwa ni pamoja na shahada ya bwana katika utambuzi saik ...

                                               

Faras

Faras ulikuwa moja kati ya miji mikubwa ya Lubia ya upande wa chini, katika Misri ya leo. Mji huu ulifurika na mafuriko ya Ziwa Nasser katika miaka ya 1960, na sasa mji huu upo chini ya maji kwa kudumu. Kabla ya mafuriko, wana-elimu wa kale walifanya utafiti mkubwa sana katika eneo hili. Wanaelimu wa kale hao walitokea nchini Poland. Kwa kurudi nyuma katika kipindi cha kwanza, kipindi ambacho mji wa Faras ulikuwa mji mkubwa sana, hususani katika kipindi cha Meroe jamii ya watengenezaji zana za chuma. Eneo hili lilikuwa kama hekalu. Katika kipindi cha Wamisti kutaka kuongoza eneo la Nubia a ...

Elimu ya juu
                                     

ⓘ Elimu ya juu

Elimu ya juu, yaani ile ya baada ya shule ya upili au elimu ya awamu ya tatu, si ya lazima. Elimu hii kwa kawaida hujumulisha viwango vya shahada pamoja na elimu ya ujuzi wa kitaalamu.

Kwa jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu na huambatana na kutolewa kwa vyeti, stashahada za diploma na shahada za digrii kitaaluma.

Masomo ya juu hujumuisha elimu, utafiti na huduma za jamii na katika uwanja wa elimu, hujumulisha viwango vya shahada ya kwanza na nyingine za juu. Elimu ya juu aghalabu huhusu kufuzu katika kiwango cha shahada ya kwanza, ya uzamili na ya uzamifu.

Idadi kubwa ya watu katika nchi zilizoendelea hadi kufikia asilimia 50 wameweza kupata elimu ya juu wakati fulani maishani mwao. Kwa hiyo, elimu ya juu ni muhimu kwa uchumi wa taifa, ni kiwanda cha pekee ambacho huzalisha wafanyakazi walioelimika.

Katika nchi maskini serikali zinatakiwa kuongeza mikopo kwa wanafunzi wa vyuoni ili waweze kupata elimu hiyo na kusonga mbele, kwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha.

                                     
 • masomo ya juu Kuna elimu maalumu kwa wale wanaohitaji ujuzi wa kitaaluma, kama vile wanaohitaji kuwa marubani. Juu ya hayo, kuna nafasi nyingi za elimu katika
 • Vocational Training kifupi ni wizara ya serikali inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini
 • viwango vya maisha ya kadri na ya juu ambao kwa ujumla hufuata mfumo wa elimu ya Uingereza wa elimu ya sekondari na msingi. Kati ya watoto wote nchini
 • Elimu ya sekondari shule za upili katika mifumo ya kisasa ya elimu ulimwenguni, huchukua kipindi cha pili cha elimu rasmi ambayo hutokea wakati wa ujana
 • Kwa jumla elimu ya juu hujumulisha miaka 6 - 8 ya masomo kuanzia mwaka wa tano au sita, lakini hutofautiana kati ya nchi na nchi. Asilimia 70 ya watoto waliotimu
 • ya juu Kuna elimu maalum kwa wale wanaohitaji ujuzi wa kitaaluma, kama vile wale wanaohitaji kuwa marubani. Juu ya hayo, kuna nafasi nyingi za elimu
 • Elimu katika Afrika ilianza kama chombo cha kuandaa vijana wake kuchukua nafasi yao katika jamii ya Afrika. Uzoefu wa elimu ya Kiafrika ilianzishwa hasa
 • Elimu ya Juu Malaysia Sekretarieti ya Elimu ya Umma Mexico Wizara ya Elimu Namibia Wizara ya Elimu Utamaduni na Sayansi Uholanzi Wizara ya Elimu
 • Falsafa ya elimu ni utafiti wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa elimu kwa kuchunguza ufafanuzi, malengo na maana ya elimu kwa jumla au ya mtazamo
 • I - VII Miaka 4 elimu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 14 17 Fomu 1 - 4 Miaka 2 elimu ya juu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 18 19
 • Elimu ya visasili au mithiolojia, kutoka neno la Kigiriki μυθολογία, mithologia, linaloundwa na μῦθος, mithos, kisasili na λογία, logia, elimu inahusu
Mode Gakuen Cocoon Tower
                                               

Mode Gakuen Cocoon Tower

Mode Gakuen Cocoon Tower hiyo ni mita 204, kituo cha elimu cha hadithi 50 kilicho katika wilaya ya Nishi-Shinjuku katika Shinjuku, Tokyo, Japan.