Back

ⓘ Elimu ya sekondari
                                               

Maureen Solomon

Maureen Solomon alizaliwa mnamo tarehe 23 1983Ni muigizaji kutoka Nigeria ambaye alishiriki katika filamu za kinaigeria Zaidi ya 80 Filamu za kinaigeria.

                                               

Suleyman Kisamvu

Suleimani Ally Suleimani Kissamvu, alipata elimu msingi katika Shule ya Msingi Zegero iliyopo wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani tarafa ya Mzenga kuanzia mwaka 1976 hadi 1982, lakini hakubahatika kuendelea na masomo ya sekondari kupitia shule za serikali. Mwaka 1983 aliamua kujiunga na ami yake ambaye alikuwa kijishughulisha na shughuli za ufundi wa kushona nguo Vingunguti Dsm. Ambapo baada ya miaka mitatu alipata wazo la kujiendeleza zaidi kimasomo, mwaka 1986 alijiunga na Taasisi iliyojitambulisha kwa jina la "Dar polytechnical school" iliyokuwa inatoa masomo ya sekondari katika nyakati za ...

                                               

American British Academy

Shule ya American-British Academy, ilianzishwa mnamo Septemba 1987, iko katika mji wa Muscat, Oman na ni moja kati shule za kimataifa zilizoanzishwa kwenye kanda la Arabuni. Ni shule ya kibinafsi isiyo yenye kutoa faida; ambayo wanafunzi hawalali hapo. Inafundisha shule ya msingi na sekondari kwa lugha ya Kiingereza wa kigeni waliohamia mjini Muscat. Ikiwa na wanafunzi watokao nchi zaidi ya 60 mbalimbali kwenye jamii ya shule iliyo na wanafunzi 720, ABA inakuza ubora kielimu ndani ya muktadha wa kuheshimu na kuelewa utamaduni. Wanafunzi wenyewe hutoka nchi mbalimbali duniani kote na hakuna ...

Elimu ya sekondari
                                     

ⓘ Elimu ya sekondari

Elimu ya sekondari, katika mifumo ya kisasa ya elimu ulimwenguni, huchukua kipindi cha pili cha elimu rasmi ambayo hutokea wakati wa ujana wa wanafunzi.

Mfumo huu hutofautiana na masomo ya msingi ambayo ni ya lazima, ni ya jumla na yanayofanana. Yale ya shule za upili ni teule na ya hiari. Shule hizi hujulikana kama sekondari, shule za upili, shule za kati, vyuo au shule za ujuzi wa kitaalamu kulingana na kipindi au mfumo unaofuatwa.

Maana ya dhana hizi hutofautiana kutoka mfumo mmoja hadi mwingine. Mpaka kamili kati ya elimu ya msingi na ya upili hutofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine. Tofauti hizi zipo hata katika nchi, lakini kwa jumla hutokea kati ya mwaka wa saba na wa kumi wa kusoma.

Elimu ya sekondari hutokea katika umri wa ujana. Nchini Marekani na Kanada, elimu ya msingi na sekondari kwa pamoja hurejelewa kama elimu ya K-12 na nchini Nyuzilandi, elimu hii hurejelewa kama elimu ya miaka 1-13. Azma ya elimu ya sekondari ni kutoa maarifa ya kawaida, kutayarisha wanafunzi kwa elimu ya juu au kuwafunza kazi moja kwa moja.

Tunapaswa kujitahidi katika kuhamasisha elimu ya sekondari kwani huwezesha kufikia chuo kikuu.

                                     

1. Historia

Barani Ulaya, shule za sarufi au akademia zilikuwepo hata katika miaka ya 1500. Shule za umma au zile za kulipa karo au hata shule za ufadhili na za wakfu zina historia ndefu zaidi.

Elimu ya sekondari iliibuka nchini Marekani mwaka 1910 na ilisababishwa na kuwepo kwa biashara kubwa na maendeleo ya teknolojia viwandani. Ili kuafikia mahitaji ya kazi, shule za upili zilijengwa na mtaala uliolenga maarifa ya kazi za ofisi na za sulubu ukazinduliwa. Hii ilibainika kuwa njia ya manufaa kwa mwajiri kwani uimarishaji wa huduma za kibinadamu uliwafanya waajiriwa kuwa madhubuti kazini na kushusha gharama kwa waajiri, huku waajiriwa wakinufaika na mishahara minono ikilinganishwa na waliokuwa na elimu ya msingi pekee.

                                     
 • kama elimu ya K - 12 na katika nchini ya Nyuzilandi, elimu hii hurejelewa kama elimu ya miaka 1 - 13. Azma ya elimu ya sekondari ni kutoa maarifa ya kawaida
 • viwango vya maisha ya kadri na ya juu, ambao kwa ujumla hufuata mfumo wa elimu ya Uingereza wa elimu ya sekondari na msingi. Kati ya watoto wote nchini
 • Kwa nchi ya Tanzania ni tofauti na nchi nyingine duniani kwani huanzia awali hadi darasa la saba, baada ya hapo unajiunga na elimu ya sekondari kwa miaka
 • hawajaandikishwa shule. Idadi kubwa ya wanafunzi wa elimu ya sekondari ni wanaume. Mwishoni mwa elimu ya sekondari wanafunzi wanakaa na kufanya mtihani
 • I - VII Miaka 4 elimu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 14 17 Fomu 1 - 4 Miaka 2 elimu ya juu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 18 19
 • ya Nyuzilandi, elimu hii hurejelewa kama elimu ya miaka 1 - 13. Azma ya elimu ya sekondari ni kutoa maarifa ya kawaida, kutayarisha wanafunzi kwa elimu
 • wanafunzi baada ya kumaliza elimu ya sekondari Vyeti vya KCSE na KCPE vilianzishwa nchini Kenya hapo mwaka wa 1985 wakatmfumo wa elimu wa 8.4.4 ulianzishwa
 • Alisoma Elimu ya Sekondari ya Kawaida katika Shule ya Sekondari Uru Mnamo Mwaka 2004 - 2007. Alisoma Elimu ya Juu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Mwakaleli
 • utendaji kati ya na ndani ya nchi. Ripoti hii pia inaonyesha kwamba uandikishaji katika sekondari ngazi za chini na juu na elimu ya juu umeendelea
 • mfumo wa elimu wa 6 - 3 - 3 - 4. Inamaanisha miaka sita katika shule ya msingi, miaka mitatu katika sekondari junior, miaka mitatu katika sekondari mwandamizi
 • ngazi ya sekondari kuna mikondo mbalimbali inayoweka uzito kwa maeneo tofautitofauti ya elimu kadiri ya vipaji na uwezo wa wanafunzi. Ngazi ya juu inayopatikana