Back

ⓘ Jamii:Elimu huria
                                               

Internet Archive

Internet Archive ni shirika lisilotafuta faida linalojenga kumbukumbu ya kidijitali kwenye intaneti inayopatikana kwa kila mtu bila malipo. Makao makuu ya shirika yapo San Francisco, Kalifornia Marekani. Lilianzishwa mwaka 1996 na Brewster Kahle. Internet Archive ilianzishwa 1996 kwa shabaha ya kutunza yaliyomo ya intaneti kwa kuhifadhi picha za tovuti nyingi. Kwa hiyo inawezekana kuangalia picha za tovuti ambazo zimeshabadilishwa tena mara kadhaa. Tangu 1999 hifadhi nyingine zimeongezwa. Sasa kuna vitengo vya video, filamu, picha na vitabu. Kitengo maalumu cha IA ni maktaba ya "Open Libra ...

                                               

Wikimedia Foundation

Wikimedia Foundation ni shirika lisilo la kiserikali lililopo Marekani linaloendesha mradi wa Wikipedia pamoja na miradi mingine. Shabaha yake ni usambazaji wa elimu huria inayopatikana bure kwa watu wote kwa njia ya mtandao. Lilianzishwa na Jimmy Wales mwaka 2001. Shirika linaendeleza maendeleo ya programu huria za wikiwiki zinazomruhusu msomaji si kusoma tu bali kuandika na kuhariri vilevile. Kwa ujumla karibia miradi yote ya Wikimedia Foundation si ya kibiashara na maudhui yote yaliyomo katika miradi hiyo hutungwa na wachangiaji wengi wanaojitolea bila malipo kutoka karibia pande zote z ...

                                     

ⓘ Elimu huria

  • wa Wikipedia pamoja na miradi mingine. Shabaha yake ni usambazaji wa elimu huria inayopatikana bure kwa watu wote kwa njia ya mtandao. Lilianzishwa na
  • kiutawala Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinatoa stashahada, diploma na shahada mbalimbali kupitia elimu ya kimtandao au elimu ya masafa ya juu kwa njia
  • programu huria ya tarakilishi, mikutano huria demokrasia huria n.k. Wikipedia inaweza kusomwa pia nje ya mtandao kwa kutumia programu huria ya Kiwix
  • Lindi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa karibu miaka tisa. Irene alimaliza elimu yake ya awali ya msingi Rombo. Katika elimu yake ya Sekondari alikuwa
  • shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na shahada ya uzamili 2014 - 2016 katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Tovuti ya Bunge la Tanzania
  • taasisi ya elimu ilianza 1956, hakikufanya kuwa chuo kikuu huria mpaka 1970 wakati Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki kiligawanywa katika vyuo vikuu huria Chuo
  • zinazoendelea. Wengine huingiza pia elimu kazi za shule na vyuo katika sekta hii ya uchumi. Mafunzo ya uchumi huria na bure kutoka MIT Vitabu kuhusu uchumi
  • Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Kimandolu kuanzia 1989 - 1995 na elimu ya sekondari katika shule
  • kitaifa wa Mwinyi, sera za Ujamaa zilianza kugeuzwa. Badala yake sera za soko huria zilianzishwa, masharti ya kuingiza bidhaa kutoka nchi za nje yalipunguzwa
  • Kusini, hasa miradi huria ya intaneti inayojenga elimu Tangu mwaka 2005 Shuttleworth alijishughulisha na programu dijitali huria akawekeza pesa ya kukuza