Back

ⓘ Jamii:Maktaba
                                               

Maktaba ya Aleksandria

Maktaba ya Aleksandria ilikuwa maktaba kubwa na mashuhuri ya zama za kale. Ilianzishwa mjini Aleksandria katika Misri wakati wa utawala wa mfalme Ptolemayo I. Ptolemayo alikuwa jenerali mgiriki chini ya Aleksander Mkuu aliyeendelea kutawala Misri na kujitangaza kama mfalme. Alichagua Aleksandria kama mji mkuu mpya na kupamba mji kwa majengo na taasisi mengi. Wakuu wa maktaba walikuwa wataalamu mashuhuri kama Eratosthenes ambao mara nyingi walikuwa pia walimu wa wana wa mfalme. Maktaba ililenga kukusanya vitabu vyote vilivyopatikana. Serikali ya Misri iliagiza ya kwamba kila mgeni alipaswa ...

                                               

WorldCat

Ilianzishwa mwaka 1967 wakati maktaba za jimbo la Ohio, Marekani ziliungana kuunda taasisi ya "Ohio Computer Library Center" OCLC kwa shabaha ya kupeana habari za vitabu vilivyopatikana katika maktaba za vyuo 54 vya Ohio. Tangu mwaka 1978 maktaba za majimbo mengine ya Marekani yalikubaliwa na jina kubadilishwa kuwa "Online Computer Library Center". Tangu mwaka 2002 kila maktaba duniani inaweza kujiunga na OCLC. Mwaka 2019 kulikuwa na maktaba wanachama 17.983 katika nchi 123 tofauti.

                                     

ⓘ Maktaba

 • Maktaba ni sehemu au jengo lililo maalum kwa ajili ya kujisomea na kujifunza juu ya vitu mbalimbali. Kuna aina kadhaa za maktaba ila zote hazina tofauti
 • Maktaba ya Aleksandria ilikuwa maktaba kubwa na mashuhuri ya zama za kale. Ilianzishwa mjini Aleksandria katika Misri wakati wa utawala wa mfalme Ptolemayo
 • Huduma za Maktaba Tanzania zinahusu watu kufaidika na Maktaba mikusanyo wa vitabu na visikiziona, vilivyowekwa kwa utaratibu maalum kwa ajili ya kusoma
 • Maktaba ya IOGT nchini Tanzania iko chini ya shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na uzuiaji wa matumizi ya dawa za kulevya, hasa kwa vijana
 • Shirikia la Huduma za Maktaba Tanzania kwa Kiingereza Tanzania Library Services Board au kifupi TLSB lilianzishwa kisheria chini ya sheria za Tanzania
 • Maktaba kwa Kiingereza: library katika utarakilishi ni mkusanyo wa taratibu au class zinazotumiwa kwa kutengeneza programu za kompyuta. Inaonekana kama
 • la hazinadata kubwa zaidi duniani kuhusu vitabu vinavyopatikana katika maktaba elfu kadhaa kote duniani. WorldCat ni kifupi cha world catalogue yaani
 • wa upanuzi wa maktaba ukianza na ujenzi wa maktaba katika vitivo tofauti kama vile maktaba ya barabara ya kampasi ya Ekehuan, Maktaba ya Utabibu, Sheria
 • Strauss katika maktaba ya WorldCat catalog Timeline biography of Strauss at Richard - Strauss.com Shughuli au kuhusu Richard Strauss katika maktaba ya WorldCat
 • kama kipande cha Injili ya Yohane cha zamani zaidi limehifadhiwa katika maktaba ya Chuo Kikuu cha John Rylands Manchester, Uingereza. Mbele ina sehemu
 • milki yao na kitovu cha elimu na sayansi. Maktaba ya Aleksandria yalikuwa na vitabu vingi kushinda maktaba zote za dunia. Wakati ule haikujulikana jinsi