Back

ⓘ Shahada ya Awali
Shahada ya Awali
                                     

ⓘ Shahada ya Awali

Shahada ya awali ni shahada ya kwanza inayotolewa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa chuo.

Katika nchi zinazofuata mfumo wa Uingereza ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa Marekani ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha elimu ya sekondari.

Nchi nyingine hazina digrii hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi sita tangu mwanzo.

Vyeo vinavyofuata ni digrii ya uzamili au "umahiri", "masters" na digrii ya uzamivu "udaktari".

                                     
 • aliyeonyesha utaalamu wake kufuatana na masharti ya sayansi kwenye Chuo Kikuu fulani mfano: Shahada ya awali BA, BSc uzamili MA, MSc uzamivu daktari
 • njia ya kiti maalumu cha wanawake. Kabla ya kujiunga na siasa alifundisha kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Alisoma Shahada ya Awali na Shahada ya uzamili
 • katika majina ya chini kama vile profesa mshiriki na profesa msaidizi. Maprofesa hufanya utafiti wa awali na kwa kawaida hufundisha shahada ya kwanza, wahitimu
 • shahada stashahada na astahashada katika fani zifuatazo: Shahada ya Udaktari Miaka 5 Shahada ya Sayansi ya Uuguzi Miaka 4 Shahada ya uzamivu ya afya
 • elimu ya juu katika chuo kiitwacho London School of Hygiene and Tropical Medicine ambako alitunukiwa shahada yake ya pili mwaka 1990 na shahada ya uzamivu
 • Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii. Mnamo 1997 alipata shahada ya udaktari wa dawa katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam na mwaka 2001 alipata shahada ya uzamili
 • ya kuungana na Idara ya Kiswahili, sasa TATAKI inafundisha Isimu, Fasihi na Historia ya Lugha ya Kiswahili katika Shahada za Awali Mahiri na Uzamivu.
 • zifuatazo: Shahada ya Sanaa ya Uhasibu na Fedha Shahada ya Sheria Orodha ya Vyuo Vikuu PDF Tanzania Commission for Universities. Jalada kutoka ya awali juu
 • alifanikiwa kupata Shahada ya Awali ya Sheria LLB katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Mwaka 2000 hadi 2002 alijinyakulia cheti cha Shahada ya Uzamili LLM
 • alisomea shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na shahada ya uzamili 2014 - 2016 katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Tovuti ya Bunge la
 • cha Lumumba kwa ajili ya masomo ya sekondari ngazi ya awali na mwisho kuanzia 1977 - 1980 na baadae alipata shahada ya kwanza ya Ualimu wa sanaa katika