Back

ⓘ Kimaasai
Kimaasai
                                     

ⓘ Kimaasai

Kimaasai ni lugha ya Kiniloti inayozungumzwa na Wamaasai nchini Kenya na Tanzania.

Lugha hiyo huandikwa kwa herufi za Alfabeti ya Kilatini.

                                     

1. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • König, Christa. 1993. "Aspekt im Maa". Afrikanistische Monographien 3. Köln: Institut für Afrikanistik, Chuo Kikuu cha Köln. Kurasa 383.
 • Mol, Frans. 1996. Maasai language and culture: dictionary. Lemek Kenya: Maasai Centre Lemek. Kurasa xvii, 411.
 • Mol, Frans. 1995. Lessons in Maa: a grammar of Maasai language. Lemek Kenya: Maasai Centre Lemek. Kurasa 317.
 • Hinde, Hildegard. 1901. The Masai language: grammatical notes together with a vocabulary. Cambridge: University Press. Kurasa 75.
                                     

2. Viungo vya nje

 • Archived Agosti 31, 2006 at the Wayback Machine. Kitabu cha Mtandao kuhusu Lugha za Kiafrika
 • lugha ya Kimaa kwenye Multitree
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine. Tovuti ya Chuo Kikuu cha Göteborg, Uswidi
 • lugha ya Kimaasai katika Glottolog
 • Orodha ya Ethnologue
 • makala za OLAC kuhusu Kimaasai
                                     
 • kama limetoka lugha ya Kikuyu ama lugha ya Kimaasai Katika Kikuyu, guthika maana yake kuzika na katika Kimaasai jina linafanana na sika maana yake kusugua
 • Algeria, Libya, Misri, Chad, Mali, Niger, Benin, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Afrika Mashariki, k.m. Kijaluo na Kimaasai
 • Monduli ni jina la Kimaasai linaloweza kumaanisha Mji wa Monduli Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha nchini Tanzania Kata ya Monduli Juu katika wilaya hii
 • Meru, Mkoa wa Arusha. Lugha yao ni Kiarusha inayohesabiwa kama lahaja ya Kimaasai Wakati wa kuja kwa wakoloni hao walikuwa wakazi wa eneo la mji wa Arusha
 • wanaowazunguka: Waakiek kaskazini mwa Tanzania kwa sasa wanaongea lugha ya Kimaasai nao Waakiek walio Kinare, Kenya, wanaongea lugha ya Kikikuyu. Waogiek ni
 • baadaye na yanasimamia amani. Ngao nyeusi, nyekundu, na nyeupe ya jadi ya Kimaasai na mikuki miwili yanaashiria ulinzi wa mambo yote yaliyotajwa hapo juu
 • mji wa 12 kwa ukubwa barani Afrika. Jina Nairobi limetokana na neno la Kimaasai Enkarenairobi, linalomaanisha mahali penye maji baridi. Lugha zote za
 • na wengi wamebadili lugha kutumia lugha ya majirani yao kila mahali iwe Kimaasai Kikuyu au Kiswahili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi
 • Njilo kwa ajili ya kuwasaidia na kuwainua wanawake wa jamii ya kifugaji ya Kimaasai katika wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha. Ni shirikia ambalo linafanya