Back

ⓘ Lugha ya kufundishia
                                     

ⓘ Lugha ya kufundishia

Lugha ya kufundishia ni lugha maalumu inayoteuliwa kutumika kutoa elimu rasmi katika taifa husika.

Baadhi ya nchi huwa na lugha zaidi ya moja za kufundishia. Kwa mfano, nchini Tanzania, elimu ya msingi na elimu ya watu wazima hutolewa kwa lugha ya Kiswahili, lakini elimu ya sekondari na ya chuo kikuu hutolewa bado kwa Kiingereza. Hata hivyo serikali ya Tanzania iko mbioni kuelekea zaidi kutumia lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi ya kufundishia kati ngazi zote.

Nchini Kenya na Uganda lugha ya kufundishia ni Kiingereza isipokuWa kwa baadhi ya masomo.

Nchi ya Rwanda ilibadili lugha yake ya kufundishia kutoka Kifaransa hadi Kiingereza.

Nchi nyingi za Ulaya zinatumia lugha za nchi zao kama lugha za kufundishia.

                                     
  • Kijerumani zimetajwa kama lugha za taifa zinazoweza kutumiwa pia kama lugha ya kufundishia shuleni. Nchi kadhaa zimekubali pia lugha ya alama jinsi inavyotumiwa
  • Mashariki. Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, methali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili hutumika kufundishia shuleni na
  • Lugha hutumika kutunza, kukuza, na kuendeleza utamaduni wa jamii. Lugha hutumika katika kutetea maarifa mbalimbali ni nyenzo ya kufundishia Lugha hutumika
  • Matumizi ya lugha ya Kiswahili ni kama ifuatavyo. 1. Kiswahili hutumika katika kufundishia shule za msingi isipokuwa lugha ya Kiingereza hufundishwa kama
  • Parisi 2016: Elimu Bora, Lugha ya kufundishia na kujifunza matokeo 2017: Matarajio endelevu kupitia elimu ya lugha nyingi 2018: Lugha zetu, mali zetu. 2019:
  • Katekisimu ya Kanisa Katoliki kwa kifupi KKK ni kitabu rasmi cha kufundishia dini ya Ukristo kadiri ya imani na maadili ya Kanisa Katoliki kutokana
  • mbalimbali kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Kutumika kwa Kiswahili kama lugha ya kufundishia lugha ya Kiswahili ilitumika kufundishia katika shule za msingi
  • wasipatwe nacho. Kwa kawaida darasa huwa na ubao wa kufundishia madawati ya wanafunzi, pia meza ya walimu n.k. Darasa ni pia jina la mkondo wa wanafunzi
  • Blasters. Wesley alianza maisha yake ya soka alipojiunga na kituo cha kufundishia wachezaji wadogo cha Manchester United alipokua na umri wa miaka 12 mnamo