Back

ⓘ Lava (volkeno)
Lava (volkeno)
                                     

ⓘ Lava (volkeno)

Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya lava

Lava kutoka jina la Kiingereza lenye asili ya Kilatini lava, wakati mwingine pia "zaha" ni mwamba ulio katika hali ya kiowevu kutokana na joto kali. Chini ya uso wa dunia mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "magma" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama ujiuji au nyepesi kama majimaji.

Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa mlipuko wa volkeno. Inaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.

Wakati wa kutoka hali yake ni kiowevu yenye halijoto kati ya 600°C hadi 1200°C. Ndani ya shimo la kasoko ya volkeno lava inaweza kukaa kama ziwa la kuchemka.

Ikitoka nje ya kasoko inaweza kuwa kama mto wa moto. Mwendo wake hutegemea na mnato wake yaani kama hali yake ni zaidi majimaji au ujiuji. Kadiri inavyoenea mbali na kasoko inapoa na kuwa mwamba.

Ikipoa inaganda na kuwa mwamba imara.

                                     
 • Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia lava volkeno Lava kutoka neno la Kiingereza larva ambalo lina asili ya Kilatini pia bombwe ni mtoto wa
 • Mlipuko wa volkeno hutokea kama zaha lava na gesi zinatoka vikali kwa nguvu. Volkeno hupatikana pale ambako vipande vya ganda la dunia vinaachana au
 • mwamba wa mgando wenye rangi nyeusi - nyeusi. Imetokana na lava kiowevu iliyotoka kwenye volkeno na kupoa haraka. Gumawesi ni mwamba mgumu unaoweza kudumu
 • yake ni volkeno iliyojitokeza chini ya barafuto. Kama kutokea kwa volkeno kunaendelea bila shindikizo mno yaani bila mlipuko, basi zaha lava yake huyeyusha
 • Ziwa Natron. Mlima una kimo cha m 2690 juu ya UB. Ni volkeno ya pekee duniani kutokana na aina ya lava yake inayotoka hali ya kiowevu majimaji lakini si
 • Kielelezo cha Mlipuko wa Volkeno wa 3, na ulihusisha mlipuko wa katikati, mlipuko wa mionzi, mtiririko wa lava na mlipuko wa ziwa lava Wakazi wapatao 12, 000
 • volkano ya Bidu na Volkano ya Nabro, Bara Ale na Mallahle Mlima wa volkeno una miiba ya Scoria inayopendekeza milipuko ya Strombolian. Katika kilele
 • Mlipuko mkubwa wa volkeno ulirusha kilomita za mjazo 1, 000 za miamba na lava hewani. 240 cubic miles 1, 000 km3 ya mwamba na lava angani. Wataalamu wanategemea
 • na mashariki ni tambarare za lava Milima ya Ruwenzori iko kilomita 20 kaskazini kwa ziwa. Kanda una ushahidi wa volkeno katika miaka 5000 iliyopita.
 • Hekla ni volkeno iliyopo kusini mwa Iceland yenye kimo cha mita 1491. Umbo la mlima ni refu: linafanana na safu yenye urefu wa kilomita 40 na kuna kasoko
 • hivyo si vibaya kusema Kilimanjaro ni mlima. Kijiolojia Kilimanjaro ni volkeno iliyolala kwa sasa. Kwenye kilele cha Kibo gesi bado inatoka. Kumbukumbu