Back

ⓘ Mwanahisabati
Mwanahisabati
                                     

ⓘ Mwanahisabati

Mwanahisabati ni mtaalamu anayetumia ujuzi mpana wa hisabati katika kazi yake, ili kutatua mafumbo ya kihisabati.

Wengineo ni: Brahmagupta, Johann Bernoulli, Jacob Bernoulli, Aryabhata, Bhāskara II, Hasan Ibn Haytham, Bonaventura Cavalieri, Alexander Grothendieck, Paul Erdős, Blaise Pascal, John von Neumann, Alan Turing, Tullio Levi-Civita Kurt Gödel, Augustin-Louis Cauchy, Georg Cantor, William Rowan Hamilton, Carl Jacobi, Nikolai Lobachevsky, Andrey Kolmogorov, Joseph Fourier, Giuseppe Peano na Pierre-Simon Laplace.

                                     
  • 1991 na mkusanyaji wa habari za kitamaduni Bw. Michael Erlewine na mwanahisabati Vladimir Bogdanov, Ph.D., wakiwa kama viongozi wa watu walio na kusudio
  • hiyo inaweza kufanya hesabu na usindikaji wa data. Jina linatokana na mwanahisabati wa Uajemi al - Khwarizmi aliyetoa maelekezo ya kwanza ya namna hiyo katika
  • Herbert Aaron Hauptman amezaliwa 14 Februari 1917 alikuwa mwanahisabati kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elimu ya fuwele. Mwaka wa 1985, pamoja
  • inahusu mwaka 1707 BK Baada ya Kristo 15 Aprili - Leonhard Euler, mwanahisabati kutoka Uswisi 23 Mei - Carl Linnaeus, mwanabiolijia kutoka Uswidi Wikimedia
  • BK Baada ya Kristo 15 Aprili - Leonardo da Vinci mwanafalsafa, mwanahisabati mchoraji na mwanasayansi kutoka Italia Wikimedia Commons ina media
  • 287 KK kabla ya Kristo Archimedes 212 KK mjini Siracusa leo nchini Italia atakayekuwa mwanahisabati na mvumbuzi mashuhuri wa Ugiriki wa Kale
  • José Echegaray y Eizaguirre 19 Aprili 1832 4 Septemba 1916 alikuwa mwanahisabati mwanasiasa na mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Hispania. Alianza
  • Venezuela 17 Aprili - Mtakatifu Benedikto Yosefu Labre 7 Septemba - Leonhard Euler, mwanahisabati kutoka Uswisi Wikimedia Commons ina media kuhusu: 1783
  • René Descartes 31 Machi 1596 1 Februari 1650 alikuwa mwanafalsafa, mwanahisabati na mwanafizikia mashuhuri katika Ufaransa. Katika falsafa ajulikana
  • Liu Gang amezaliwa 30 Januari 1961 ni mwanahisabati mwanafizikia, na mwanasayansi wa kompyuta kutoka nchi ya China. Ni pia kiongozi wa harakati ya