Back

ⓘ Lutricia McNea
Lutricia McNea
                                     

ⓘ Lutricia McNea

Lutricia McNeal ni mwimbaji wa muziki wa soul/pop kutoka nchini Marekani. Alipata mafanikio yake kimataifa kwa vibao vyake kadhaa kama vile "Aint That Just the Way" kibao ambacho kiliuza nakala milioni mbili dunia nzima, "Stranded" UK: #3, Sweden: #6 na "Someone Loves You Honey" UK: #9.

                                     

1. Wasifu

Maisha ya awali

McNeal ni mtoto wa saba katika familia ya watoto tisa. Baba yake ni mchungaji na yeye Lutracia alikuwa mwimbaji wa kwaya katika kanisa la katika kamji kao. Kipaji chake kiligunduliwa na Rogers/Grantham, kazi yake ilianza kushika hatamu baada ya ziara ya Ulaya, ambapo alijiunga na kikundi cha watayarishaji cha Kiswidi RobnRaz. Kwa pamoja watatu hao walipeleka katika chati vibao kadhaa ikiwa pamoija na Top 20 #1 huko Sweden, kibao cha "Clubhopping" Sweden: #13, "Bite the Beat" Sweden: #14 na "In Command" Sweden: #1.

Miaka kadhaa baadaye akaanza kazi zake za kujitegemea na kufanya kibao #1 "Aint That Just The Way" kibao ambacho kilimfanya awe maarufu dunia nzima. Kilikuwa habari mjini katika chati mbalimbali huko Ulaya na baadaye huko Asia mwisho kikatua katika chati maarufu za US Billboard Dance Charts na kushika nafasi ya kwanza. Kibao baadaye kilitunukiwa dhahabu katika nchi kadha wa kadha.

                                     
  • kutoka Marekani 1965 - Peter Kenneth, mwanasiasa nchini Kenya 1973 - Lutricia McNea mwanamuziki wa Marekani 1976 - Jean Grae, mwanamuziki wa Marekani 511
  • Novemba - Dana Snyder, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 27 Novemba - Lutricia McNea mwanamuziki wa Marekani 1 Desemba - Lombardo Boyar, mwigizaji wa filamu