Back

ⓘ Shule ya msingi
                                               

Kibungo Juu

Kibungo Juu ni kata ya Wilaya ya Morogoro Vijijini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67228. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6.304 walioishi humo. Kata ya Kibungo juu inaundwa na vijiji vitano navyo ni: Kibungo Juu, Lanzi, Nyingwa, Dimilo na Lukenge. Kuna shule za msingi tano, moja kwa kila kijiji. Wananchi wa kata ya Kibungo ni wakulima wa mazao ya biashara kama vile karafuu, hiriki, tangawizi, bizari, ndizi, lakini wanalima pia mazao ya chakula kama vile mpunga, mahindi, mihogo, magimbi na mengineyo. Tamaduni za wananchi ...

                                               

Netsai Mukomberanwa

Netsai Mukomberanwa ni mchongaji sanamu kutokea Zimbabwe. Ni mchongaji sanamu wa kizazi cha pili cha sanaa za Kishona wanaotumia mawe katika uchongaji. Hutumia mchana wake kuzalisha kazi zake katika shamba la familia huko Zuwa. Kazi yake ya msingi ni ualimu wa shule ya msingi. Netsai ni mwanachama wa familia mashuhuri ya wasanii ya Mukomeranwa. Ni binti wa mchongaji wa kizazi cha kwanza cha uchongaji wa Kishona Nicholas Mukomberanwa na Grace Mukomberanwa. Ni dada wa wachongaji Anderson, Ennica, Taguma, Tendai Mukomberanwa na Lawrence Mukomberanwa, na ni binamu wa Nesbert Mukomberanwa.

                                               

Sarah Britten

Britten alisoma Shule ya Msingi ya Bryanston na Shule ya upili ya Redhill Johannesburg na akasomea tamthiliya katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand, ambapo alimaliza Shahada ya Maigizo mnamo mwaka 1996, Na Mafunzo ya Mawasiliano mnamo mwaka 1997, Na masomo ya lugha ya Kiingereza aliyojifunza mnamo mwaka 2005.Katika chuo kikuu alichunguza masilahi yake katika kitambulisho cha kitaifa na ucheshi na Ripoti ya Uchunguzi wa Masters ya juu ya ucheshi wa Afrika Kusini, akiangazia Madam & Eve, comic strip, Na Taifa Moja, Bia Moja: Hadithi ya Afrika Kusini Mpya katika Utangazaji. Alifanya kazi ya uan ...

                                               

Angela Black

Angela Black ni mwandishi wa habari za runinga Marekani akijulikana kwa kazi yake ya msingi katika KABC-TV Los Angeles, California na kwa kuwa mmoja ya wamarekani mweusi watoa habari katika historia ya habari za runinga Los Angeles.

Shule ya msingi
                                     

ⓘ Shule ya msingi

Shule ya msingi ni hatua ya kwanza katika mfululizo wa masomo katika nchi nyingi.

Masomo ya msingi huchukua kati ya miaka 5 hadi 8 ya kwanza ya elimu rasmi.

Kwa jumla elimu ya juu hujumulisha miaka 6-8 ya masomo kuanzia mwaka wa tano au sita, lakini hutofautiana kati ya nchi na nchi.

Asilimia 70 ya watoto waliotimu umri wa kujiunga na shule hujiandikisha katika masomo ya msingi kote ulimwenguni na viwango hivi vinaongezeka.

Chini ya mipango ya Elimu kwa wote inayoendeshwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, nchi nyingi zina nia ya kufanikisha uandikishaji katika elimu ya msingi ifikapo mwaka 2015, na katika nchi nyingi, ni lazima kwa watoto kupata elimu ya msingi.

Kwa nchi ya Tanzania ni tofauti na nchi nyingine duniani kwani huanzia awali hadi darasa la saba, baada ya hapo unajiunga na elimu ya sekondari kwa miaka 6 yaani kidato cha kwanza hadi cha sita, baada ya hapo unajiunga na chuo kikuu. Serikali inazidi kujenga shule vijijini kwa sababu watu wengi huko hawana elimu; lakini bado kuna suala la ubora.

                                     
 • nyingi watoto na vijana wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa maisha yao ya baadaye. Mambo hayo ni masomo. Kila somo
 • ya msingi ambayo ni ya lazima, ni ya jumla na yanayofanana. Yale ya shule za upili ni teule na ya hiari. Shule hizi hujulikana kama sekondari, shule za
 • Shule ya St. Andrews ni shule huru ya msingi na ya sekondari mjini Nakuru, Kenya, karibu na mji wa Molo. Inajulikana kwa jina la Turi ambalo ni jina
 • shule hii. Mbali na Shule ya Msingi ya ELCK Kenyoro, shule zingine zilizo karibu ni: Shule ya Msingi ya Getangwa Shule ya Upili ya Kiabonyoru Shule ya
 • shule ya sekondari Mtakatifu Pius. Kwa mujibu wa takwimu zilizofanyika, kuna shule za msingi tano, nazo ni: shule ya msingi Nawigo, shule ya msingi Malinyi
 • wa shule ya Msingi wanafunzi wa miaka 6 - 7 waliingia mwaka wa 1987. Kwa sasa haina wanafunzi wowte wanaolala bwenini. The Scroll gazeti la shule ilichapishwa
 • ni shule inayofadhiliwa na ya hisani iliyopo kaskazini mwa jiji la Arusha, Tanzania. Shule hiyo, ambayo ina kampasi tatu, hutoa bure elimu ya msingi na
 • Certificate of Secondary Education. Shule ilianzishwa mwaka 1907 kama shule ya msingi pamoja na, jirani Seminari ya Mtakatifu Paulo na Mathari Mission
 • katika shule ya msingi pamoja na wale walio shule ya sekondari, na wale wa chuo kikuu, wote wanajulikana kama wanafunzi. Elimu ya msingi ni ya lazima
 • Lwenzera kinazo shule nne za Lutelangoma, Lwezear, Membe na Bweya. Kijiji cha Nzera kina shule moja ya msingi iitwayo Nzera shule ya msingi Kijiji cha Nyamboge
 • Shule hii ilifunguliwa mnamo mwaka wa 1981 na sasa ina shule ya chekechea, ya msingi na ya upili. Kuna bweni malazi kwa wanafunzi 150. Vifaa vya michezo