Back

ⓘ KamariKamari
                                     

ⓘ Kamari

Kamari ni mchezo wa bahati nasibu unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo la mchezo.

Sheria za nchi zinatofautiana kuhusu uhalali wake.

Hata maadili ya dini yanatofautiana.

Tatizo mojawapo kubwa ni kwamba wanaoshiriki michezo hiyo wanahitaji au kutamani sana utajiri, hivyo wakishindwa wanaweza kushawishika kucheza tena na tena hadi kufilisika. Baadhi ya wachezaji wa michezo hii hufikia hata kupata matatizo au ugonjwa wa akili. Kuna tiba za aina mbalimbali za kuwasaidia watu wanaoshindwa kuwa na uamuzi wa kuacha michezo hii kutokana na uraibu.

Michezo ya kamari imekuwa biashara kubwa kimataifa, ikiwa na bajeti ya dola bilioni 335 mwaka 2009. Umaarufu wa michezo kama vile soka na teknolojia mpya imefanya michezo hii kupata umaarufu wa kasi kubwa duniani.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Mfano wa aina mpya za kamari Australia"
  • Gambling sites katika Open Directory Project
  • Center for Gaming Research - at University of Nevada, Las Vegas
  • Institute for the Study of Gambling and Commercial Gaming at the University of Nevada, Reno
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →