Back

ⓘ Jamii:Dini barani Afrika
                                               

Uislamu barani Afrika

Afrika ilikuwa bara la kwanza ambalo lipo nje ya Waarabu na kuanza kuenea Uislamu mapema katika karne ya 7. Karibia theluthi moja ya idadi ya Waislamu wote duniani wanaishi katika bara hili. Waislamu walipita Djibouti na Eritrea kuomba hifadhi ya makazi katika Ethiopia ya leo wakati wa Kuhamia Uhabeshi. Waislamu walio wengi barani Afrika ni wa dhehebu la Sunni; utatanishi wa Uislamu barani Afrika umeonekana katika shule mbalimbali za fikira, mapokeo, na sauti kutoka katika nchi nyingi za Afrika. Uislamu wa Afrika sio tuli kabisa na umekuwa ukibadilika kulingana na jamii ulionea - hasa kuto ...

                                               

Ukristo barani Afrika

Ukristo barani Afrika una historia ndefu inayokaribia miaka elfu mbili. Ukristo uko Afrika katika wingi wa madhehebu yaliyopatikana katika historia ya Kanisa, baadhi katika bara hilo, baadhi katika mabara mengine. Kwa sasa ndiyo dini kubwa zaidi barani, hasa Kusini kwa Sahara, pamoja na Uislamu ambao unaongoza Kaskazini kwa jangwa hilo.