Back

ⓘ Risala
                                     

ⓘ Risala

Risala ni taarifa fupi inayosomwa mbele ya kiongozi mgeni rasmi kwa niaba ya kundi fulani la watu ili kutoa maelezo au kuonesha msimamo wa kundi hilo kwa kiongozi. Ni aina ya taarifa ambayo hupelekwa mtu au watu fulani inayoelezea haja inayotakiwa.

Risala hugawanyika katika sehemu kuu tatu, nazo ni:

  • Mwanzo: Hapa panahusu sana salamu, ukaribisho na lengo la risala.
  • Mwisho: wa risala hueleza msisitizo au shukrani.
  • Kati: ndiyo kiini cha risala ambacho huonesha mafanikio, matatizo, mapendekezo na kadhalika.
                                     
  • Risala Said Kabongo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka
  • rubani wa ndege hiyo na mlinda Usalama walifariki. Rais Mwai Kibaki alituma risala za rambirambi na kuamrisha kupeperushwa kwa bendera Nusu Mlingoti. Waziri
  • Sanya Jussa Paje CCM Ritta Enespher Kabati Viti maalum vya wanawake CCM Risala Said Kabongo Viti maalum vya wanawake Chadema Naghenjwa Livingstone Kaboyoka