Back

ⓘ Unyenyekevu
Unyenyekevu
                                     

ⓘ Unyenyekevu

Unyenyekevu ni hali ya kujishusha mbele ya wengine, hasa wakubwa au wanaostahili heshima ya pekee, kama vile Mungu.

Lengo la kufanya hivyo ni kukubali ukweli, kinyume cha kinavyotaka kiburi, kinavyojitahidi kujikuza bila haki.

Kati ya kweli zinazomhusu binadamu kuna udogo wake kimaumbile na ukosefu wake kimaadili. Ndizo zinazomdai anyenyekee kama adili la msingi.

                                     

1. Katika Biblia

Unyenyekevu unahimizwa katika Agano la Kale Mith 3:34 na zaidi katika Agano Jipya kufutana na mfano wa Mwana wa Mungu ambaye alijishusha kabisa Fil 2:1-17 akahimiza wanafunzi wake kumfuata hasa katika hilo ili hatimaye kutukuzwa pamoja naye. Math 23:12.

                                     

2. Katika Ukristo

Neno la Kiingereza "humility" linatokana na Kilatini humilitas, ambapo mzizi ni humus udongo. Sababu ni kwamba unyenyekevu ni kuelekea chini.

Wakatoliki wanahusianisha unyenyekevu na adili bawaba la kiasi, kwa sababu hilo linazuia maelekeo yote yasiyoratibiwa.

Agostino wa Hippo alisisitiza umuhimu wa adili hilo katika kusoma na kufundisha Biblia, akitumia mifano ya Mtume Paulo katika 1Kor 4:7 na wa Towashi Mwethiopia katika Mdo 8 De Doctrina Christiana, prooem. 4-8. Kwa kuwa msomaji na mwalimu vilevile wanapaswa kukumbuka Biblia ni Neno la Mungu, si mali yao, la sivyo watashindwa kuielewa. De Doctrina Christiana, 2.41.62.

Bernardo wa Clairvaux alifafanua unyenyekevu kuwa: "Adili ambalo mtu, akijifahamu alivyo kweli, anajishusha. Yesu Kristo ndiyo ufafanuzi bora wa Unyenyekevu."

                                     

3. Marejeo

 • Sister Huda. 19 November 1998. About.com Website."Humility", Islam.about.com. Retrieved April 5, 2006.
 • Al-Munajjid, Sheikh Muhammad Saleh. Islam Q&A Website."Different kinds of humility", Islam-qa.com. Retrieved April 5, 2006.
 • Catholic Encyclopedia, newadvent.org
                                     

4. Viungo vya nje

 • World scripture: Quotes from religious texts about humility, unification.net
 • Judaisms take on humility Chabad.org
 • Catholic Encyclopedia, newadvent.org
 • Im glad that Im a nobody: A positive psychology of humility Archived Januari 4, 2007 at the Wayback Machine., meaning.ca
                                     
 • Israeli. Katika taifa zima walikuwepo watu waliojitahidi kuishi maisha ya unyenyekevu na haki mbele ya Mungu wa kweli. Habari hiyo pia inaonyesha kwamba Mungu
 • mwenyewe 1Kor 6: 18 Kati ya maadili mengine, Yesu alihimiza hasa upole na unyenyekevu yanayotulinganisha naye kwa namna ya pekee. Jitieni nira yangu, mjifunze
 • haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu 2Pet 1: 20 - 21 Tunahitaji unyenyekevu wa Mwafrika ambaye mwinjilisti Filipo alimsikia anasoma chuo cha nabii
 • kienyeji na wazungumzaji wa Kiingereza kwa Suala zinaonyesha maskhara ya unyenyekevu Hakika wewe hukuwa ukimaanisha moi? Kwa lugha ya Kifini, moi hutumika
 • kwa unyenyekevu kama mlio wa moyoni. Katika sala 95, Gregori alitumia uwezo wote wa lugha ya Kiarmenia ili kutafsiri hisia za uchungu na unyenyekevu katika
 • mwili wake mshindi. Kama shukrani nazama katika kilindi kirefu sana cha unyenyekevu na pamoja na huruma yako isiyolipika, nasifu na kuabudu wema wako mtamu
 • na unyenyekevu wakitenda vizuri kabisa mambo ya kawaida: Nataka mabinti wangu wasiwe na kipeo kingine isipokuwa kumtukuza Bwana kwa unyenyekevu wao
 • rafiki wa Mungu anayestahili kuambiwa yote, mwenye huruma, busara na unyenyekevu katika sala. Wageni wake watatu ambao ni kama mtu mmoja tu kwa Wakristo
 • 21: 91 Pamoja na kusifiwa kwa usafi wake, anaongezewa sifa za imani na unyenyekevu Na Mariamu binti Imrani aliyejilinda uchi wake, na tukampulizia humo

Users also searched:

...
...
...