Back

ⓘ Stadi za lugha
                                     

ⓘ Stadi za lugha

Stadi za lugha ni zile mbinu mkukufunzi anazotumia kufunza lugha asilia kwa msomi wa lugha ya pili. Pia ni mbinu msomi wa lugha ya pili anayotumia kuhakikisha amempata mkufunzi wa lugha ya pili kiufasaha. Stadi hizi pia zaweza kuitwa mbinu za ufundishaji wa lugha ambazo nazo ni kama vile: kusikiliza na kuongea, kusoma, kuandika sarufi katika lugha funzwa na msamiati wa lugha funzwa.

Ni lazima mfunzi wa lugha afuatilie utaratibu fulani ili aweze kuhakikisha wanafunzi wake wanampata ipasavyo. Mwalimu hawezi kufunza mwanafunzi kuandika kama hana ufahamu wa kusoma kwa hivyho lazima afunze mwanafunzi kusoma kwanza kabla ya kuchukua hatua ya kumfunza jinsi ya kukandika.

                                     
 • mamoja. Stadi za lugha ya mazungumzo ni kuzungumza na kusikiliza. Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya maandishi. Hii ni kiwakilishi cha lugha ya mazungumzo
 • Jawabu za kemikali ni masomo mengine ya tawi ya kemia mbapo ya stadi radhi kwa mifano mingine. Kemikali ya Kispektroskopi kwa mfano wa stadi uhusiano
 • Missenyi District Council ukifika bugandika pia kuna chuo cha ufundi stadi ambacho kinaendeshwa na shirika la PARTAGE TANZANIA shirika hilo hasa uwasaidia
 • usumaku. Mwaka wa 1977, pamoja na John Van Vleck na Nevill Mott alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Pia alikuwa stadi wa mchezo wa Kijapani Go.
 • Robin - kama kiongozi wao - ana stadi za uchunguzi wa kesi tofauti kutokana na vipande tofauti vya habari, ana stadi za upiganaji wa karate kwa ajili ya
 • zinalenga kumpatia mwanafunzi maarifa na stadi za kutatua matatizo aliyo nayo kwa wakari ule Hukazia maarifa na stadi zinazo lenga kutatua matatizo yanayokabili
 • chini. Elimu ya madarasa ya chini ihudhuriwe kwa lazima. Elimu ya ufundi stadi iwe wazi kwa wote. Na elimu ya juu iwe wazi kwa wote kwa kutegemea sifa
 • kuwashirikisha watu. Msingi Kwa mazoezi, watengenezaji wengi wa wavuti watakuwa na stadi za msingi kati ya ujuzi majukumu, ikiwa ni pamoja na: Kazi ya picha na kubuni
 • jina la mwezi ambao mada fulani zitafundishwa. iii Ujuzi: Haya ni maarifa, stadi ambayo mwanafunzi hupata baada ya kufundishwa. iv Wiki: Sehemu hii huandikwa
 • China na Uhindi. Waswahili wa Kale walitegemea pia nyota wakiwa mabaharia stadi waliovuka Bahari Hindi yote. Hapa kuna urithi mkubwa wa majina ya nyota
 • Ujasiriamali na Stadi za Biashara Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii in sw PDF Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na