Back

ⓘ Leo mfiadini
Leo mfiadini
                                     

ⓘ Leo mfiadini

Leo Somma wa Corigliano Calabro alikuwa mmojawapo kati ya wenzi wa Danieli Fasanella waliofia dini huko Ceuta tarehe 10 Oktoba 1227. Walikuwa Ndugu Wadogo wamisionari huko Moroko.Wote walikuwa mapadri isipokuwa Donulus.

Walitangazwa watakatifu na Papa Leo X mwaka 1516.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 10 Oktoba.

                                     

1. Historia

Kifodini cha Berardo wa Carbio na wenzake kilichotokea Moroko mwaka 1219 kilifanya Wafransisko wengi watamani kufuata nyayo zao kwa kuhubiri Injili kwa wasio Wakristo.

Basi, mwaka 1227, uilofuata ule wa kifo cha mwanzilishi, Fransisko wa Asizi, watawa 6 wa kanda ya Toscana, Agnelus, Samueli, Donulus, Leo mwenyewe, Hugolino na Nikola wa Sassoferrato, walimuomba Elia wa Cortona, mkuu wa shirika, awaruhusu kwenda Moroko kuwahubiria Waislamu.

Kisha kukubaliwa, walikwenda Hispania, alipojiunga nao kama kiongozi Danieli Fasanella wa Belvedere, mkuu wa kanda ya Calabria.

Toka huko walivuka bahari na tarehe 20 Septemba walishukia Afrika, walipobaki siku chache katika kijiji kilichokaliwa hasa na wafanyabiashara Wakristo.

Halafu, Jumapili asubuhi, waliingia mjini Ceuta, wakaanza mara kuhubiri kwa kupinga Uislamu. Kwa sababu hiyo walipekelekwa kwa sultani ambaye, akiwadhani ni vichaa, aliagiza watiwe gerezani. Walibaki humo hadi Jumapili iliyofuata, ambapo sultani kwa mabembelezo na vitisho alijaribu kuwafanya wakane dini yao.

Aliposhindwa, aliagiza wauawe. Kila mmojawao alimkaribia Danieli ili kupata baraka yake na ruhusa ya kumfia Yesu. Wote walikatwa kichwa.

                                     
  • zimetunzwa hadi leo Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki, Walutheri na Waanglikana kama mtakatifu mfiadini Sikukuu yake
  • Zota mfiadini pia: Ioatha ni Mkristo ambaye alifia dini katika Pentapoli ya Kurene leo nchini Libya wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian 285 - 305
  • Severi mfiadini ni kati ya Wakristo wa Algeria ya leo waliouawa kwa ajili ya imani yao. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi
  • Mauro mfiadini alifariki 283 hivi alikuwa Mkristo wa Moroko ya leo aliyehamia Roma na kufia dini yake wakati wa dhuluma ya kaisari Numerian. Tangu kale
  • Ariana mfiadini alifariki Primnesso, mkoa wa Frigia, leo Seulun, nchini Uturuki, 130 hivi alikuwa msichana mtumwa Mkristo wa Dola la Roma. Tangu kale
  • Marselino mfiadini alifariki 413 ni kati ya Wakristo wa Tunisia ya leo waliouawa kwa ajili ya imani yao. Ndugu wa Agrari mfiadini alikuwa mwakilishi
  • dini nchini Japani 1597 Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6
  • mfiadini 1227 10 Oktoba Domino Rinaldi, mfiadini 1227 10 Oktoba Leo Somma, padri mfiadini 1227 10 Oktoba Ugolino wa Cerisano, padri mfiadini
  • Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Agosti. Watakatifu wa Agano la Kale
  • Januari mfiadini Benevento au Napoli, mkoa wa Campania, leo nchini Italia - Pozzuoli, Campania, karne ya 3 alikuwa askofu wa Benevento. Tangu kale anaheshimiwa