Back

ⓘ Latvia
Latvia
                                     

ⓘ Latvia

Latvia kwa Kilatvia: Latvija au Latvijas Republika, kwa Kilivonia: Lețmō au Letmō Vabāmō ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini.

Imepakana na Estonia, Lithuania, Belarus na Urusi. Uswidi iko ngambo ya bahari ya Baltiki.

Mji mkuu ni Riga.

Latvia ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1 Mei 2004.

                                     

1. Historia

Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini ya Wajerumani, Wapolandi na Waswidi, halafu 1710 sehemu ya Dola la Urusi.

Katika miaka 1918-1940 ilikuwa jamhuri halafu miaka 1940-1991 mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Latvia ilijitangaza nchi huru tena.

Latvia ilijiunga na Umoja wa Ulaya baada ya azimio la Halmashauri Kuu ya Ulaya ya tarehe 13 Desemba 2002 iliyokutana Kopenhagen.

Katika kura ya maoni ya tarehe 20 Septemba 2003 ni 66.9% za Walatvia wote waliokubali azimio hilo.

Latvia iliingia rasmi katika Umoja wa Ulaya tarehe 1 Mei 2004 pamoja na nchi nyingine 9 za Ulaya mashariki.

                                     

2. Watu

Idadi ya watu inapungua, na sasa iko chini ya milioni 2.

Wakazi wengi ni Walatvia 61.6%, halafu Warusi 25.8%, Wabelarus 3.4%, Waukraina 2.3%, Wapolandi 2.1%, Walituania 1.2% na wengine 4.8%.

Lugha rasmi ni Kilatvia, ambayo ni mojawapo ya lugha za Kibalti. Wananchi walipiga kura ya kukataa Kirusi kama lugha rasmi ya pili.

Upande wa dini, wengi 78.5% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, ingawa 7% tu wanashiriki ibada mara kwa mara. Hasa ni Walutheri 34.2%, Wakatoliki 24.1% na Waorthodoksi 19.4%. Asilimia 21.1 hawana dini yoyote.

                                     

3. Viungo vya nje

 • Rīga Wiki Archived Julai 6, 2005 at the Wayback Machine.
Serikali
 • Latvian Institute
 • Bank of Latvia
 • Ministry of Foreign Affairs of Latvia
 • Parliament of Latvia
 • President of Latvia
 • Statistical Office of Latvia
 • Government of Latvia
Taarifa za jumla
 • Latvia entry at The World Factbook
 • Latvia Online
 • Key Development Forecasts for Latvia from International Futures
 • Britannica Online Encyclopedia
 • Latvia Archived Oktoba 11, 2008 at the Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
 • Latvia katika Open Directory Project
 • BBC News country profile
 • European Union country profile
Elimu na utamaduni
 • Latvian Cultural Canon
 • Latvian Culture Portal Archived Januari 18, 2013 at the Wayback Machine.
 • Latvian Heritage
 • Latvian Community Archived Februari 3, 2016 at the Wayback Machine.
 • Livonian Culture Portal
 • National Library of Latvia
 • Latvian Music Information Centre
 • Latvian Culture Map
 • State Agency of Cultural Heritage
Utalii
 • Official Latvian Tourism Portal
Ramani Wikimedia Atlas of Latvia


                                     
 • Historia ya Latvia inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Latvia Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini ya Wajerumani, Wapolandi
 • Belarusi, na Latvia na kuingia katika Ghuba ya Riga. Urefu wa mto huu ni km 1, 020: km 325 ziko nchini Urusi, km 338 ziko Belarusi na km 352 ziko Latvia Ndani
 • Ukurasa kuhusu jimbo la Niger Madona ni mji wa Latvia katikati ya jimbo la Madona.
 • Riga ni mi mkuu wa Latvia pia mji mkubwa mwenye wakazi 731.672 mwaka 2005 Mji uko kando la mto Dunava karibu na pwani la Baltiki.
 • Mashariki mwa Ulaya. Inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Lituania. Inapakana na Latvia Belarus, Polandi na Russia. Ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Mji mkuu wa
 • QJ au gj ni kifupi cha: Kodi ya IATA ya Latpass Airlines, Latvia
 • Friedrich Wilhelm Ostwald Kilatvia: Vilhelms Ostvalds Riga, Latvia 2 Septemba 1853 4 Aprili 1932 alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka
 • LV au lv ni kifupi cha: Kodi ya IATA ya Albanian Airlines Albania Kodi ya ICAO ya Palestina Kodi ya ISO 3166 - 1 ya nchi ya Latvia
 • Eesti Vabariik ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Latvia na Urusi. Finland iko ng ambo ya Kidaka cha Ufini cha Bahari ya Baltiki
 • Dola la Ujerumani na Austria - Hungaria. Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano swali la nchi za Kibalti kama Latvia
 • Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Latvia Mji mkuu ni Minsk na miji mingine ni pamoja na Brest, Grodno, Gomel, Mogilev