Back

ⓘ Majina ya Yesu katika Agano Jipya
Majina ya Yesu katika Agano Jipya
                                     

ⓘ Majina ya Yesu katika Agano Jipya

Majina ya Yesu katika Agano Jipya ni namna mbalimbali za kumuita kwa heshima na katika jitihada za kuweka wazi yeye ni nani kweli, tena ni nani kwetu sisi binadamu.

Pamoja na jina Yesu alilopewa alipotahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa na Kristo, katika Agano Jipya anaitwa kwa namna nyingine 196kama vile:

 • Nabii
 • Kuhani mkuu
 • Mwalimu
 • Mwana wa Adamu
 • Mwanakondoo wa Mungu
 • Emanueli
 • Mwana wa Daudi
 • Mkate wa uzima
 • Bwana
 • Mfariji au Mtetezi au Msimamizi
 • Mjumbe wa Agano Jipya
 • Mfalme wa Wayahudi
 • Mwana wa Mungu
 • Adamu mpya
 • Alfa na Omega
 • Mwanga wa ulimwengu
 • Mwokozi
 • Nyota ya asubuhi
 • Neno
                                     
 • Mitazamo ya Agano Jipya juu ya Yesu inatofautiana kadiri ya waandishi, lakini bila kuvunja umoja wa imani yuu yake kama Kristo na Mwana wa Mungu. Mitazamo
 • Ukoo wa Yesu unapatikana katika vitabu viwili vya Agano Jipya Injili ya Mathayo ambayo inaorodhesha vizazi kuanzia Abrahamu hadi kwa Yosefu mume wa Maria
 • hasa katika Biblia, kwa namna ya pekee katika Injili na vitabu vingine vya Agano Jipya Nje ya Ukristo kuna habari fupi kuhusu Yesu katika maandiko ya waandishi
 • vya Agano la Kale viliandikwa kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Kwa mujibu wa wanahistoria wa Biblia, vitabu vya Agano la Kale viliandikwa kati ya karne
 • Yesu ndiye Masiya wa Mungu yaani Yesu ndiye Masiya aliyetangazwa na manabii wa Agano la Kale na kutazamiwa na Israeli. Katika aya nyingine za Agano
 • furaha katika utimilifu wa Agano Jipya divai badala ya hatua ya maandalizi ya Agano la Kale maji Harusi ya Kana imechorwa mara nyingi katika historia
 • Mifano ya Yesu inaweza kusomwa katika Injili zote nne za Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo, lakini pia katika Injili nyingine zilizoandikwa baadaye
 • kati ya Mitume wa Yesu ambalo Injili zinajitahidi kumtofautisha na Yuda Iskarioti, msaliti wa Yesu Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo
 • wakati wote wa Agano Jipya yaani tangu Yesu alipozaliwa hadi mwisho wa maisha ya mitume wake, nchi hiyo haikuwa huru, bali chini ya himaya ya Warumi, ingawa
 • Yesu na maandiko ya Agano Jipya hususan Injili, hadi leo. Kadiri ya imani hiyo, siku ya tatu baada ya kuuawa msalabani Ijumaa kuu, Yesu alifufuka mtukufu