Back

ⓘ Sosholojia ya elimu
                                     

ⓘ Sosholojia ya elimu

Sosholojia ya elimu ni sayansi inayohusu uhusiano ya elimu na jamii.

Kwa upana zaidi, elimu ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa kimaksudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine.

Walimu katika taasisi za elimu huratibisha elimu ya wanafunzi wao kupitia masomo kama vile ya kuandika, kusoma, hesabu, sayansi na historia. Mbinu hii wakati mwingine huitwa masomo haswa tunaporejelea somo la aina fulani, kwa kawaida mbinu hii hutumiwa na maprofesa katika taasisi za masomo ya juu. Kuna elimu maalum kwa wale wanaohitaji ujuzi wa kitaaluma, kama vile wale wanaohitaji kuwa marubani. Juu ya hayo, kuna nafasi nyingi za elimu katika viwango vingine visivyo rasmi kama vile majumba ya ukumbusho, maktaba pamoja na mtandao na tajriba za maisha.

Haki ya kusoma imeweza kuelezwa kuwa haki ya kimsimgi ya binadamu katika kifungu cha pili cha itifaki ya kwanza ya Maagano ya haki za binadamu barani Ulaya kuanzia mwaka wa 1952 ambapo wanachama wote wanashurutishwa kuhakikisha elimu kwa wote. Katika kiwango cha kimataifa, Mapatano ya Umoja wa Mataifa ya haki za kiuchumi, kijamii na utamaduni katika mwaka wa 1966 yanahakikisha haki hii katika kifungu cha 13.

                                     

1. Mifumo ya elimu rasmi

Elimu ni dhana inayorejelea namna ambayo wanafunzi wanaweza kujifunza kitu:

Mwongozo unarejelea urahisishaji wa somo na hulenga kutambua shabaha zilizobuniwa na mwalimu au mbinu zingine za kufunza. Kufunza kunarejelea matendo halisi ya mwalimu yanayonuia kupasha elimu kwa wanafunzi. Kujifunza hurejelea masomo yenye mtazamo unaolenga kuwapa wanafunzi elimu, ujuzi na uwezo unaoweza kutumika punde tu wakamilishapo kipindi cha masomo.

Elimu Ya Msingi

Makala kuu ya: Primary education Shule ya msingi ya wazi hewa. Mwalimu kuhani na darasa kutoka nje ya jiji la Bukarest, karibu 1842. Masomo ya msingi huchukua kati ya miaka 5-7 ya kwanza ya elimu rasmi. Kwa jumla elimu ya juu hujumulisha miaka 6-8 ya masomo kuanzia mwaka wa tano au sita, lakini hutofautiana baina na kati ya nchi. Asilimia 70 ya watoto waliotimu umri wa kujiunga na shule hujiandikisha katika masomo ya msingi kote ulimwenguni na viwango hivi vinaongezeka.
                                     

2. Mchakato

Mitaala

Makala kuu yas: Curriculum and List of academic disciplines

Somo la taaluma ni tawi la elimu ambalo hufunzwa kirasmi katika vyuo vikuu ama kupitia njia zingine kama hizo. Kwa kawaida, kila somo huwa na masomo mengine ama matawi na mipaka ya kuyabainisha mara nyingi huwa si dhahiri na mara nyingine husababisha utata. Mifano ya masomo ya kitaaluma yenye upana ni kama vile sayansi asilia, hesabu, sayansi ya komputa, sayansi za jamii, sayansi za binadamu na sayansi za matumizi.

Dhana ya" masomo yanayosaidiwa kwa Kompyuta” CAL limetumiwa kwa wingi kuelezea teknolojia katika masomo.

                                     

3. Nadharia ya elimu

Makala kuu ya: Education theory

Nadharia ya elimu ni nadharia ya azma, mataumizi na ufafanuzi wa elimu na kusoma. Historia yake inatokana na wataalamu wa elimu kutoka Ugiriki kuanzia karne ya 18. Katika karne ya 20 mbinu za kusoma zimetumia nadharia katika kufunza, kutathmini na katika sheria za elimu ambazo hupatikana katika vitengo mbalimbali kama ifuatavyo:

                                     

4. Uchumi

Makala kuu ya: Economics of education

Sababu zimetolewa kuwa kiasi cha juu cha elimu ni muhimu kwa nchi kwa ajili ya kuwezesha ukuaji haraka wa uchumi.

                                     

5. Historia

Makala kuu ya: History of education

A depiction wa Chuo Kikuu cha Bologna, Italia

Historia ya elimu kulingana na Dieter Lenzen rais wa Freie Universitat Berlin mwaka wa 1994, "ilianza miaka mingi iliyopita ama mwishoni wa mwaka wa 1770". Elimu kama sayansi haiwezi kutengwa na tamaduni za elimu iliyokuwepo awali. Wakubwa waliwafunza wadogo wao juu ya jamii kwa kutumia maarifa na ujuzi waliohitaji kufahamu na mwishowe kupitisha.

                                     

6. Falsafa

Makala kuu ya: Philosophy of education

John Locke kazi Baadhi ya Mawazo Kuhusu Elimu ilikuwa imeandikwa katika 1693 na bado elimu ya jadi huonyesha vipaumbele katika dunia ya Magharibi

Falsafa ya elimu ni utafiti wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa elimu. Falsafa ya elimu kwa kawaida huonwa kama tawi la falsafa na elimu. Falsafa ya elimu mara nyingi huhifadhiwa ndani ya falsafa na elimu ilhali ni falsafa matumizi, iliyotokana na nyanja za zamani za falsafa ontolojia,elimu adili, epistemolojia na njia kisia, taswira na tafiti mbinu na mtaala, nadharia, kwa kutaja tu chache.

                                     

7. Saikolojia

Makala kuu ya: Educational psychology

A darasa kawaida majaribio katika fann Marekani kuhudhuria madarasa ndogo kwa miaka 3 au zaidi katika darasa mapema iliongezeka high shule viwango vya kuhitimu wanafunzi kutoka familia zenye kipato cha chini. Katika vyuo vikuu, idara za elimu ya saikolojia vimehifadhiwa katika vitivo vya elimu. Hii ni kwa sababu ya uwezekano wa ukosefu wa uwakilishaji wa maudhui ya saikolojia ya elimu katika utangulizi wa vitabu vya saikolojia.

                                     

8. Sosholojia

Makala kuu ya: Sociology of education

Sosholojia ya elimu ni somo linalohusu jinsi taasisi za kijamii na kani huathiri michakato na matokeo ya elimu, na kinyume chake. Kwa wengi, elimu hueleweka kama mbinu ya kushinda vizuizi, kufanikisha usawa na kupata amani na hadhi kwa wote Sargent 1994. Wanafunzi wanaweza kutiwa motisha na tamaa ya maendeleo na uboreshaji. Elimu hutambuliwa kama mahali ambapo watoto huweza kujikuza kulingana na mahitaji yao ya kipekee. Uelewa wa shabaha na mbinu za michakato ya utangamano wa kielimu hutofautiana kulingana na dhana ya sosholojia iliyotumika.

                                     

9. Maendeleo ya Kielimu

Ramani ya dunia ikionyesha Elimu Index kulingana na Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2007/2008

Katika nchi zinazoendelea idadi na uzito wa shida zilizoko kwa kawaida ni kubwa. Baadhi za nchi zina mitaala mikuu inayoweza kubadilika kwa urahisi, inayofanana na yenye miundo zaidi.

Kutokana na utandawazi shinikizo kwa wanafunzi katika shughuli za mtaala zimeongezeka Kuondolewa kwa asili mia fulani ya wanfunzi kwa ajili ya uboreshaji wa masomo kwa kawaida hufanywa shuleni baada ya daraja la kumi

India inakuza teknolojia na mtandao. India ilizindua EDUSAT, elimu ya setilaiti ambayo inaweza kuwafikia wengi kwa gharama ya chini. Kuna pia mpango ulioanzishwa na shirika la OLPC, kundi lililotokana na maabara ya MIT lililoungwa mkono na mashirika makuu ili kukuza kompyuta ya kupakata ambayo ingeghalimu $100, ili kuwezesha kuwasilisha elimu ya programu ya kompyuta. Kompyuta hizi zimesambaa kote kufikia mwaka wa 2009. Kompyuta hizi zinauzwa au kutolewa kama msaada. Hii itawezesha nchi zinazoendelea kuwapa watoto wao elimu kwa kutumia mitambo.

Barani Afrika, shirika la NEPAD limezindua programu ya masomo ya mtandao inayotoa vifaa vya kompyuta na masomo ya mtandao kwa shule zote za msingi na upili kwa kipindi cha miaka kumi. Vikundi vya kibinafsi kama vile The Church Of Jesus Christ Of Latter Days Saints, wanajikakamua kuwapa watu fursa ya kupokea elimu katika nchi zinazoendelea kupitia miradi kama vile Perpetual Educational Fund. Mradi wa maendeleo kimataifa inayofahamika kama nabuur.com, com iliyoanza kutokana na usaidizi wa raisi wa Marekani Bill Clinton, hutumia mtandao kuwezesha ushirikiano wa watu binafsi kuzungumzia maswala ya maendeleo ya jamii.                                     

10. Umataifishaji

Elimu inaendelea kuwa jambo la kimataifa. Sio vifaa vyake tu vinavyoendelea kuathiriwa na mazingira ya kimataifa yenye ukwasi bali pia mabadiliko ya wanafunzi katika viwango vyote yanayochangia kuendesha jukumu hili muhimu. Kwa mfano kule Uropa, programu ya Socratis Erusmus imechechemua mabadilishano kati ya vyuo vikuu vya Uropa. Vile vile, Shirika la Soros hutoa fursa nyingi kwa wanafunzi kutoka Asia ya kati na Uropa mashariki. Wasomi wengi hudai kwamba ingawa mfumo fulani unaweza kuzingatiwa kuwa bora au mbaya kuliko mwingine, kuzoea aina tofauti ya elimu mara nyingi huonwa kuwa elementi muhimu ya kuzoea masomo ya kimataifa.

                                     

11. Dini na Elimu

Tazama makala kuu: Elimu ya kidini

Elimu katika dini ya Uislamu ni muhimu kwa wake na waume, kutafuta aina zote za maarifa, yawe ya kitaaluma, kidini au ya dunia yanaruhusiwa kwa watu wa umri wowote. Hata hivyo, masomo ya umri mdogo huonwa kuipa akili fursa ya kumakinika bila kuathiriwa na shida na majukumu ya maisha ya utu uzima

                                     
  • Falsafa ya elimu Elimu ya umma Elimu ya ziada Elimu ya makazi Shule Shule ya siku zijazo Elimu ya jinsia moja Sosholojia ya elimu Elimu kwa mahitaji maalum
  • Sosholojia ni fani ya sayansi inayochunguza mwenendo wa kijamii, yaani binadamu katika maisha ya jamii: unavyoanza, unayoendelea, unavyojipanga na unavyosababisha
  • pamoja na sayansi asilia kama vile fizikia, kemia, astronomia, biolojia, tiba sayansi jamii kama vile historia, ualimu, falsafa, isimu, fasihi, sosholojia
  • Mwakaleli Mnamo Mwaka 2008 - 2010. Alisoma na Kuhitimu Shahada ya Sanaa na Elimu Elimu na Sosholojia Katika Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Agostino Tanzania Mnamo
  • Novemba 1917 alikuwa mtaalamu kutoka Ufaransa aliyeweka misingi ya sosholojia au sayansi ya jamii. Aliunda mbinu za kuchunguza muundo wa jamii. Durkheim
  • sayansi ya udongo, taaluma ya hali ya hewa kwa kilimo biolojia ya mazao ya kilimo na mifugo nyanja kama uchumi wa kilimo na sosholojia ya vijijini
  • Kazi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu, hivyo ina nafasi kubwa katika anthropolojia, falsafa, teolojia, fizikia na sosholojia Inafafanuliwa kama utendaji
  • au matendo, ya nje na ya ndani Wataalamu wa sosholojia wanaonyesha kwamba wasio na dini wanaweza wakaabudu mambo mengine kama vile timu ya mpira, chama
  • masomo yake ya sekondari katika chuo cha Queen, Enugu kabla ya kwenda chuo kikuu cha Nnamdi Azikiwe Awka, Anambra State ambapo alisoma sosholojia na anthropolojia
  • ya kwao bila ya kujifunza na kupokea mawazo mbadala. Katika Tanzania na nchi nyingine nyingi wahuni hupatikana hasa mijini. Saikolojia na sosholojia zinachunguza