Back

ⓘ Kulala kwa Mama wa Mungu
Kulala kwa Mama wa Mungu
                                     

ⓘ Kulala kwa Mama wa Mungu

Kulala kwa Mama wa Mungu ni sikukuu ya Kanisa ambayo ni maarufu katika Ukristo wa mashariki, yaani Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Makanisa Katoliki ya Mashariki vilevile.

Inaadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Agosti baada ya wiki mbili za mfungo.

Inalingana na sherehe ya Maria kupalizwa mbinguni inayofanywa na Kanisa la magharibi siku hiyohiyo.

Neno "kulala" linachukuliwa kwa maana ya "kufa" kabla ya "kufufuliwa" na "kuchukuliwa mbinguni" kwa mwili wake.

                                     

1. Marejeo

 • Shoemaker, Stephen J 2002. Ancient traditions of the Virgin Marys dormition and assumption. Oxford, New York: Oxford University Press. ISBN 978-0-19-925075-2. OCLC 50101584.
                                     

2. Viungo vya nje

 • Celebrating Dormition in the Holy Land Jerusalem
 • Epitaphios of the Theotokos Archived Mei 15, 2007 at the Wayback Machine. Russia
 • Full liturgical and hymnographic texts and readings for the Feast of the Dormition of the Theotokos in English Archived Septemba 5, 2010 at the Wayback Machine.
 • The Dormition of our Most Holy Lady the Mother of God and Ever-Virgin Mary Orthodox icon and synaxarion
 • Icons of the Dormition
 • Icons of the Feast of Dormition
 • Dormition article on Orthodox Wiki
 • Service of the Burial / Lamentations of the Theotokos, forming part of the Feast of the Dormition in English Archived Septemba 6, 2010 at the Wayback Machine.
 • Translation of the Dormition Icon of the Mother of God from Constantinople to the Kiev Caves, Far Caves Feast celebrated May 3
                                     
 • Mama wa Mungu kwa Kigiriki Θεοτόκος, Theotókos kwa Kilatini Deipara au Dei genetrix, yaani Mzaa Mungu ni sifa kuu ambayo Wakristo wengi wanampatia
 • Ulinzi wa Mama wa Mungu kwa Kigiriki Σκέπη, Sképē kwa Kislavi cha Kikanisa Покровъ, Pokrov, yaani ulinzi ni sikukuu ya Bikira Maria inayoadhimishwa
 • wanaiita Kulala kwa Mama wa Mungu lakini pia kumbukumbu za watakatifu Tarsisi wa Roma, Stratoni na wenzake, Simplisiani, Alipius wa Thagaste, Yasinto wa Krakau
 • mtoto huyo alikuwa wa kiume na wa kwanza kwa mama yake ilibidi atolewe kwa Mungu halafu kukombolewa kwa sadaka ya kondoo au, kwa mafukara, njiwa wawili
 • yalisahauliwa na Ukristo wa Magharibi kwa kiasi kikubwa. Inafikiriwa kwamba mfungo huo ulianza kama shukrani kwa Mungu kwa ushuhuda wa Mitume uliofikia hatua
 • pamoja na Maria mama yake wakapiga magoti, wakamsujudia. Kisha wakafungua hazina zao, wakampa zawadi: dhahabu, ubani na manemane. 12 Mungu aliwaonya katika
 • la mtu, ni kweli Mama wa Mungu na kwa ajili ya kazi hiyo muhimu sana alitakaswa kabla ya wakati Yeye ni kielelezo na msaidizi wa kumkimbilia katika
 • lakini wasiwasi kuhusu hali yake mbele ya Mungu ulimfanya ashindwe kwa wiki kadhaa hata kula na kulala isipokuwa kwa shida. Katika kilele cha jaribu hilo
 • yuko mkono wa kuume wa Mungu tena ndiye anayetuombea Rom 8: 33 - 34 Yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Naye, kwa sababu hii
 • pia: Bwana Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. Nasi tumesadiki, tena tumejua, ya kuwa wewe ndiwe Mtakatifu wa Mungu Mara nyingine majibu
 • Kilatini mwishoni mwa kila mwaka, kati ya Noeli 25 Desemba na sherehe ya Mama wa Mungu 1 Januari Lengo ni kufanya familia hiyo iwe kielelezo cha nyingine