Back

ⓘ Alumni
Alumni
                                     

ⓘ Alumni

Alumni ni neno la kutaja watu waliokuwa wanafunzi wa chuo kikuu fulani. Asili ya neno ni lugha ya Kilatini ni uwingi wa alumnus inayomaanisha "anayelelewa, anayelishwa".

Desturi ya kuunda umoja wa wanafunzi wa kale wachuo fulani ilianzishwa huko Marekani kwa shabaha ya kupata msaada wa watu wenye kazi njema na mapato mema walio tayari kusaidia chuo chao cha zamani. Alumni wanajitolea kwa hali na mali, kwa kukipa chuo chao pesa, kwa kutumia athira yao katika siasa kwa ajili ya sheria za kusaidia elimu, kwa kuwapa wanafunzi wachuo chao nafasi za ajira na kadhalika.

Siku hizi kuna vyama vingi vya alumni

                                     
 • Deutschland Mlango wa Alumni Ujerumani ni ukurasa kwenye mtandao. Madhumuni yake ni kuwaunganisha Alumni wa Ujerumani. Alumni - Ujerumani ni watu wote
 • Technology MIT Tovuti rasmi ya MIT MyMIT Ukurasa wa kupokea wanafunzi MIT Alumni Association MIT OpenCourseWare, Free online publication of nearly all MIT
 • Bombwe, Godliver Gordian, Omary Mrisho na Cathryn Credo. Out of Africa. Alumni WWU. Siri Ya Mtungi. Worldcat. Colins, Charles December 10, 2013 Photos
 • Archmere Academy - Catholic School in the Norbertine Tradition Archmere Alumni Association Archived Septemba 26, 2017 at the Wayback Machine. The website
 • Schools International Society of the Sacred Heart Associated Alumnae and Alumni of the Sacred Heart Archived Mei 14, 2008 at the Wayback Machine. Catholic
 • AIESEC Program. DHL Website. Iliwekwa mnamo 2009 - 09 - 19. Famous Alumni AIESEC Alumni International. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009 - 03 - 26. Iliwekwa
 • ya awali juu ya 2013 - 06 - 25. Iliwekwa mnamo 26 Septemba 2013. Prominent Alumni Kiingereza Kenyatta University. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013 - 09 - 30
 • 1994 The Ballads of Madison County: A Collection of Songs Famous UNI Alumni Rod Library, University of Northern Iowa. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2011. Author
 • world, Beijing, China, 26 Mei 2006 Quincy Jones on Chicago Public Schools Alumni Website Honor Roll Quincy Jones oral history video excerpts at The National
 • nyingi ndani na nje ya Afrika. Wanafunzi wengi wa kitambo waliohitimu alumni wa PAC wanashiriki katika mafunzo ya taasisi ya Biblia kufundisha, huduma
 • Kusini na Chama cha Umoja wa Ulaya. International School ya Kenya Rafiki Club ISK Alumni Archived Mei 19, 2008 at the Wayback Machine. ISK Mazingira Club