Back

ⓘ Jamii:Viongozi wa dini
                                               

Akhenaten

Akhenaten alikuwa farao wa nasaba ya kumi na nane ya Misri ya Kale. Utawala wake ulikuwa 1353 KK - 1336 KK au 1351 KK - 1334 KK. Alitawala pamoja na mke wake, malkia Nefertiti. Akhenaten ni mmoja wa mafarao maarufu zaidi wa Misri. Alianza kutawala akitumia jina Amenhotep linalomaanisha "mungu Amun ameridhika" kuwa "Akhen-Aten" inayomaanisha ama "mtumishi wa Aten" au "Nuru ya Aten". Jina jipya lilisababishwa na mabadiliko yake ya kidini na kisiasa ambako alihamia kumwabudu pekee mungu wa Jua aliyemwita Aten. Kwa hiyo alianzisha dini ya kumwabudu Mungu mmoja, hata kama ibada za miungu mingin ...

                                               

Laozi

Laozi ni mmoja wa wanafalsafa mashuhuri wa China aliyeishi katika karne ya 6 KK. Laozi si jina bali cheo kama "mwalimu". Anajulikana hasa kutokana na kitabu cha Tao te jing kinachotajwa kama kazi yake. Anatazamwa kama mwanzilishi na mwalimu mkuu wa Utao ambao ni fundisho linalopatikana kama falsafa na pia kama dini. Katika matawi ya kidini ya Utao anatazamwa kama mungu mmojawapo.