Back

ⓘ Kimanda (Tanzania)
                                     

ⓘ Kimanda (Tanzania)

Kimanda ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamanda. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimanda imehesabiwa kuwa watu 22.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimanda iko katika kundi la N10.

                                     

1. Viungo vya nje

  • tovuti hiyo ina msamiati wa Kimanda
  • makala za OLAC kuhusu Kimanda
  • lugha ya Kimanda kwenye Multitree
  • lugha ya Kimanda katika Glottolog
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
                                     
  • ya Kimanda nchini Tanzania wala na lugha ya Kimanda nchini Uhindi. lugha ya Kimanda kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kimanda lugha ya Kimanda katika
  • Jina la Kimanda hurejea lugha tofauti, k.m. lugha ya Kimanda nchini Tanzania lugha ya Kimanda nchini Australia lugha ya Kimanda nchini Uhindi.
  • Kimachinga Kimagoma Kimakhuwa - Meetto Kimakonde Kimalila Kimambwe - Lungu Kimanda Kimaraba Kimatengo Kimatuumbi Kimbugu Kimbugwe Kimbunga Kimediak Kimochi