Back

ⓘ Kimalila
                                     

ⓘ Kimalila

Kimalila ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamalila. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimalila imehesabiwa kuwa watu 65.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimalila iko katika kundi la M20.

                                     

1. Mfumo wa Sauti Fonolojia

Lugha ya Kimalila ina irabu 7 na konsonanti 35 lakini lahaja zake zilizoathiriwa na Kinyiha zina irabu 5 tu. Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.

                                     

2. Viungo vya nje

  • tovuti hiyo ina msamiati wa Kimalila
  • lugha ya Kimalila kwenye Multitree
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • makala za OLAC kuhusu Kimalila
  • lugha ya Kimalila katika Glottolog
                                     

3. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Walsh, Martin T. 1998. The Malila: preliminary notes on language, history and ethnography. Muswada usiotolewa rasmi.
                                     
  • Santilya, Iyunga Mapinduzi, bonde la Mbalizi na nyingine pia. Lugha yao ni Kimalila mojawapo ya lugha za Kibantu, ambayo inafanana sana na Kisafwa na Kinyiha
  • Kiluo Kimaasai Kimachame Kimachinga Kimagoma Kimakhuwa - Meetto Kimakonde Kimalila Kimambwe - Lungu Kimanda Kimaraba Kimatengo Kimatuumbi Kimbugu Kimbugwe Kimbunga