Back

ⓘ Kimakhuwa-Meetto




                                     

ⓘ Kimakhuwa-Meetto

Kimakhuwa-Meetto ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji na Tanzania inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa-Meetto nchini Msumbiji imehesabiwa kuwa watu 963.000. Pia kuna wasemaji 385.000 nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa-Meetto iko katika kundi la P30.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • lugha ya Kimakua katika Glottolog
 • Archived Machi 1, 2003 at the Wayback Machine. tovuti hiyo ina kamusi ya Kimakua iliyokusanywa na Kisseberth
 • lugha ya Kimakua kwenye Multitree
 • makala za OLAC kuhusu Kimakua
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Stucky, Suzanne U. 1985. Order in Makua syntax. Outstanding dissertations in linguistics. New York: Garland Publishing. Kurasa 240.
 • Pires Prata, António. 1960. Gramática da língua macua e seus dialectos. Cucujães: Escola Tipográfica das Missões pelos Sociedade Portuguesa das Missões Católicas. Kurasa iv, 442.
                                     
 • Kikunda Kilolo Kilomwe Kimaindo Kimakhuwa Kimakhuwa - Marrevone Kimakhuwa - Meetto Kimakhuwa - Moniga Kimakhuwa - Saka Kimakhuwa - Shirima Kimakonde Kimakwe Kimanyawa
 • Tanzania ni Kimakhuwa - Meetto Lugha zote nyingine huzungumzwa nchini Msumbiji tu: Kimakhuwa chenyewe Kimakhuwa - Marrevone Kimakhuwa - Moniga Kimakhuwa - Saka
 • Wilaya ya Masasi na Wilaya ya Nanyumbu. Lugha zao ni aina mbalimbali za Kimakua. Lugha ya Kimakua inayozungumzwa nchini Tanzania ni Kimakhuwa - Meetto