Back

ⓘ Kikutu
                                     

ⓘ Kikutu

Kikutu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakutu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikutu imehesabiwa kuwa watu 45.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikutu iko katika kundi la G30.

                                     

1. Viungo vya nje

  • lugha ya Kikutu katika Glottolog
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikutu
  • makala za OLAC kuhusu Kikutu
  • lugha ya Kikutu kwenye Multitree
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
                                     
  • na watoto wote wanahesabiwa kuwa wa ukoo huo. Pia lugha yao, ambayo ni Kikutu haina tofauti kubwa na Kiluguru na Kizaramo. Mwaka 1987 walikadiriwa kuwa
  • Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu Kikinga Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza Kikwaya Kikwere Kilambya Kilangi Kilogooli Kiluguru Kiluo Kimaasai