Back

ⓘ Kikisi (Tanzania)
                                     

ⓘ Kikisi (Tanzania)

Kikisi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakisi. Isichanganywe na Kikisi-Kaskazini nchini Guinea wala na Kikisi-Kusini nchini Liberia; tena ni tofauti na Kikisii nchini Kenya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji ya Kikisi imehesabiwa kuwa watu 10.200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie, lugha ya Kikisi iko katika kundi la G60.

                                     

1. Viungo vya nje

 • lugha ya Kikisi katika Glottolog
 • lugha ya Kikisi kwenye Multitree
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikisi
 • makala za OLAC kuhusu Kikisi
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Waane, S. 1976. Pottery making traditions of the Ikombe Kisi of Kyela district: an anthropological paper. Occasional papers from the National Museum of Tanzania, no 4. Dar es Salaam. Kurasa 50.
                                     
 • Lugha hizo mbili zisichanganywe na lugha ya Kikisi nchini Tanzania Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikisi - Kusini nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu
 • Lugha hizo mbili zisichanganywe na lugha ya Kikisi nchini Tanzania Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikisi - Kusini nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu
 • Kikisi ni jina la lugha mbalimbali tofauti, k.m.: lugha ya Kikisi inayozungumzwa nchini Tanzania Kikisi - Kaskazini nchini Guinea Kikisi - Kusini nchini
 • Wakisi ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Njombe, Wilaya ya Ludewa. Lugha yao ni Kikisi Jamii hii hujishughulisha na shughuli mbalimbali
 • Kikachchi Kikagulu Kikahe Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu Kikinga Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza Kikwaya Kikwere Kilambya Kilangi Kilogooli