Back

ⓘ Jamii:Sahara ya Magharibi
                                               

Polisario

Polisario ni vuguvugu la harakati za wenyeji asilia ya Sahara ya Magharibi kuipatia nchi yao uhuru. "Polisario" ni kifupi cha jina la Kihispania Frente Po pular de Li beración de Sa guía el Hamra y Río de Oro "Harakati ya watu kwa aijili ya Uhuru wa Saguia el Hamra na Rio de Oro" Kiarabu الجبهة الشعبية لتحرير الساقية الحمراء ووادي الذهب al-jabHa ash-shabiya litaHrir as-saaqiya al-Hamra wa wadi ad-dhaHab" Kiongozi wa Polisario ni Katibu Mkuu Mohamed Abdelaziz aliyechaguliwa 1976. Ndiye pia mkuu wa jeshi la ukombozi wa Sahara lenye askari wa kiume na kike takriban 6000-7000. Anawajibika kama ...