Back

ⓘ Magharibi mwa Norwei
Magharibi mwa Norwei
                                     

ⓘ Magharibi mwa Norwei

Magharibi mwa Norwei ni kanda iliyopo katika pwani ya bahari ya Atlantiki huko mjini kusini mwa nchi ya Norwei. Kanda ina-jumlisha baadhi ya majimbo kama vile Rogaland, Hordaland, Sogn og Fjordane, na More og Romsdal na kanda ina wakazi wapatao milioni 1.3. Mji mkubwa kabisa katika kanda hii ni Bergen, wa pili kwa ukubwa ni Stavanger. Agder, Vest-Telemark, Hallingdal, Valdres na sehemu za kaskazini mwa Gudbrandsdal zilikuwa katika jimbo hili wakati wa kupanga Magharibi mwa Norwei.

                                     

1. Miji

Kanda hii ina miji ipatayo 22. Imewekewa ukubwa kulingana na idadi ya wakazi:

 • Åkrehamn
 • Åndalsnes
 • Måloy
 • Stord
 • Sauda
 • Jorpeland
 • Skudeneshavn
 • Bryne
 • Egersund
 • Bergen
 • Molde
 • Ålesund
 • Floro
 • Fosnavåg
 • Forde
 • Stavanger
 • Ulsteinvik
 • Sandnes
 • Odda
 • Kristiansund
 • Haugesund
 • Kopervik
                                     

2. Wilaya

Hizi ni wilaya ambazo zimegawiwa kulingana na mfumo wa utawala wa sasa. Umepangwa kutoka Kaskazini kwenda Kusini.

 • Sunnfjord
 • Jæren
 • Ryfylke
 • Voss
 • Midthordland
 • Sunnmore
 • Nordhordland
 • Dalane
 • Romsdal
 • Hardanger
 • Sogn
 • Nordfjord
 • Sunnhordland
 • Haugaland
 • Nordmore kikawaida haujumlishwi katika sehemu ya Magharibi mwa Norwei
                                     
 • Romsdal ni moja kati ya Majimbo ya Norwei Jimbo lipo katika moja ya sehemu za kaskazini mwa Magharibi mwa Norwei Limepakana na jimbo la Sor - Trondelag
 • ya Norwei ambalo lipo mno upande wa kaskazini - mashariki mwa nchi ya Norwei Kiinchi imepakana na mipaka ya jimbo la Troms kwa upande wa magharibi Finland
 • Rogaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei Jimbo lipo Kaskazini mwa Norwei likikwa limepakana na baadhi ya mjimbo mengine kama vile Hordaland, Telemark
 • Skandinavia. Pande za magharibi za milima hiyo huteremka vikali kwenye Bahari ya Kaskazini na Bahari ya Norwei ambapo huunda fyord za Norwei Upande wa kaskazini
 • kusini mwa Uswidi. Rasi hii ni rasi kubwa ya Ulaya. Ina urefu wa kilomita 1, 850 na upana ulio kati ya kilomita 370 805. Milima mirefu iko Norwei inayofikia
 • Tyrifjorden na Kroderen ni miongoni mwa maziwa makubwa. Numedalslågen, ziwa la tatu ambalo ni refu sana nhini Norwei linanza mjini Hordaland, linapitia
 • hospitali iliyopo katika mji wa Haydom, magharibi mwa Mkoa wa Manyara. Hospitali iko karibu km 300 kusini - magharibi kwa Arusha. Hospitali ilianzishwa mnamo
 • yake makuu mjini Bergen na inazunguka zaidi maeneo ya mjini magharibi na kaskazini mwa Norwei Mwaka wa 1662, len ikabadilishwa na kuwa amt. Bergenhus amt
 • Nordland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei Jimbo lipo katika kanda ya Kaskazini mwa Norwei imepakana na Troms kwa upande wa kaskazini, Nord - Trondelag
 • Atlantiki ya kaskazini. Iko km 300 kutoka Greenland upande wa magharibi na km 1, 000 kutoka Norwei upande wa mashariki. Eneo lake ni km² 103, 000 lakini idadi
 • iko Norwei ng ambo ya mlango wa bahari ya Skagerak, mashariki iko Uswidi ng ambo ya Kattegat na Oresund. Bahari ya Kaskazini iko upande wa magharibi Baltiki